Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kataa ndoa tunapita kimya kimya hatuna neno
Hakuna mwanamke asie tongozwa; wanao gawa uroda huaga hawasemi, sana sana kama huna hela za kutosha utaona viji dharau vya hapa na pale. Huyu mwanamke wa jamaa ni mali, asimuache. Kampa challenge na challenge imejibu, sema kwa hilo gari kwa Dar, hapana. Crown kifua kikubwa halafu V6 and hence weze kwa mwezi ni kubwa; he could opt hata kwa Premio kama aliipenda sedan type of carsManeno aliyoambiwa jamaa yako ni red flag tosha kuwa anaishi na mwanamke wa aina gani???
Amuombe Mwenyezi Mungu azidi kumbariki kiuchumi ,, aendelee kuwa na maisha mazuri maana siku atakayo yumba kiuchumi ndo siku atakayo mpoteza huyo mwanamke 😎🤝🏽
NakaziaJibu langu mimi lingekuwa "njoo nayo hata 5 yatumie tu kwa raha zako"
Hakuna mke hapo, mwanamke kutongozwa jambo la kawaida sana, sio lazima asimulie kila kitu, hata kumiriki gari, hata ndege sioni shida, la msingi ameipataje? Kazi secretary kwa mhindi,au mchina, salary 400K! Unakuja na Prado, au Vogue!! Aaaaaa tutakane radhi hapo, hapo lazima Balthazar ameishapita.Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.
Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.
Mume wake anagari ambalo analotumia katika shughuli zake na kwenda ofisini kwao, but mke wake Hana. Na Kila mmoja anatoka home kwa Muda wake. Jamaa anachukua gari anasepa, Kisha mke wake anafuata ,maana anapanda daladala mpk ofisini.
Sometime anapanda mwendo Kasi.
Sasa siku Moja mke wake akamwambia hivi " mume wangu naomba uninunulie gari hata kadogo tuu lolote wewe unalona mimi litanifaa kulitumia sikupangii, ila usipofanya hivyo naomba siku nikija na gari uciniulize nimelitoa wapi naomba sana usiniulize".
Jamaa alishuka kidogo, sasa mwamba anampenda sana mke wake , aliniambia hakumuuliza chochote kile akaamua kumtimizia na mwishowe akafanikiwa kununua Toyota crown Kisha akampatia mke wake tuu kwa ajiri ya kulitumia ila jina ni la mume wake kwenye kadi.
MKE wake akasema Asante ila tuu na mimi nitumie gari kwenda ofisini na shughuli zingine
Walikaa kama wiki 3 Kisha mke wake akaamua kumueleza ukweli mume wake. Alimwambia hivi.
"Mume wangu najua nilikukwanza kwa maneno Yale niliyokwambi na naamini nilikuumiza, naomba unisamee, ila nilisema vile ili uninunulie maana najua uwezo unao, sababu ni hii
"Mimi mke wako kwa jinsi muonekano niliyokuwa nayo, wanaume wengi wananisumbua sana, na wengi wananiona naenda ofisini kwa daladala jua Kali njiani. Na walikuwa wananisubua kwa promise kuwa uwezo kuwa unaenda ofisini bila gari inaitaji gari, sasa ni vishawishi vilikuwa vingi nimeangaika sana, watu still hawaeshimu ndoa za watu. But am sorry kwa maneno Yale niliyokuambia.
Ila mume wangu mimi mke wako nashukuru MUNGU bado ananilinda katika ndoa yangu."
Jamaa baada ya hapo akasema sawa tu nimekuelewa. Waliongea vingi sana na mke wake. Baadae waliyamaliza ila.
Vipi wewe yamewahi kukuta haya.
Kwahiyo kugongewa ni sifa nzuri?Tuna ujinga fulani tumejiaminisha kuwa mke akitembea nje basi ni aibu kubwa, wenyewe tunaita kugongewa. Wanawake weshajua hilo, wanaitumia vizuri kweli mwishowe tunajifia mapema kwa presha zisizopaswa kuwepo.
Hakuna kitu kinaitwa kugongewa. Kuna mwanamke kugongwa kwa matakwa yake ambapo kama ana kiapo cha ndoa inamaana amekivunja na tayari hiyo ndoa haipo baada tu ya yeye kugongwa.Kwahiyo kugongewa ni sifa nzuri?
Mkeo ajue hilo ili wanshughulikie bila hofu.
Wow 👏👏👏Hakuna kitu kinaitwa kugongewa. Kuna mwanamke kugongwa kwa matakwa yake ambapo kama ana kiapo cha ndoa inamaana amekivunja na tayari hiyo ndoa haipo baada tu ya yeye kugongwa.
Kuhusu kumshughulikia mama watoto wangu ni wewe tu na ushawishi wako, ukimpa sababu akaona una hadhi kuliko kiapo chake cha ndoa unajimegea tu, anapoteza ndoa anakupata weye. Ni suala lake, sio langu.
Kwani kuna ulazima gani uyo mwanamke kufanya kazi
Huyu jamaa boya sanaKwahiyo kugongewa ni sifa nzuri?
Mkeo ajue hilo ili wanshughulikie bila hofu.
Mume unakuwaje na gari kabla ya mke?Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.