MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

Nyuzi kama hizi zinachangia sana Vijana tusioe Wadada warembo/Wenye Elimu au tusio kabisa Mbona Baba /Babu zetu walikuwa wanakausha tuu
 
Hakuna mwanamke asie tongozwa; wanao gawa uroda huaga hawasemi, sana sana kama huna hela za kutosha utaona viji dharau vya hapa na pale. Huyu mwanamke wa jamaa ni mali, asimuache. Kampa challenge na challenge imejibu, sema kwa hilo gari kwa Dar, hapana. Crown kifua kikubwa halafu V6 and hence weze kwa mwezi ni kubwa; he could opt hata kwa Premio kama aliipenda sedan type of cars
 
Sasa kama anaafanya kazi kwanini asifikirie kudunduliza akanunua hata Passo?
Huyu kwa leo atasema haya ila siku mme akaugua akalala kitandani basi ataambiwa kuna wanaotembea wananitaka ujue
 
Hakuna mke hapo, mwanamke kutongozwa jambo la kawaida sana, sio lazima asimulie kila kitu, hata kumiriki gari, hata ndege sioni shida, la msingi ameipataje? Kazi secretary kwa mhindi,au mchina, salary 400K! Unakuja na Prado, au Vogue!! Aaaaaa tutakane radhi hapo, hapo lazima Balthazar ameishapita.
 
Tuna ujinga fulani tumejiaminisha kuwa mke akitembea nje basi ni aibu kubwa, wenyewe tunaita kugongewa. Wanawake weshajua hilo, wanaitumia vizuri kweli mwishowe tunajifia mapema kwa presha zisizopaswa kuwepo.
Kwahiyo kugongewa ni sifa nzuri?
Mkeo ajue hilo ili wanshughulikie bila hofu.
 
Kwahiyo kugongewa ni sifa nzuri?
Mkeo ajue hilo ili wanshughulikie bila hofu.
Hakuna kitu kinaitwa kugongewa. Kuna mwanamke kugongwa kwa matakwa yake ambapo kama ana kiapo cha ndoa inamaana amekivunja na tayari hiyo ndoa haipo baada tu ya yeye kugongwa.

Kuhusu kumshughulikia mama watoto wangu ni wewe tu na ushawishi wako, ukimpa sababu akaona una hadhi kuliko kiapo chake cha ndoa unajimegea tu, anapoteza ndoa anakupata weye. Ni suala lake, sio langu.
 
Wow πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Reactions: Tsh
Mwambie jamaa yako aache ubinafsi.
Mjinga mmoja
 
MUNGU ni mwema baada ya hapo mke wake hagongwi nje ya ndoa.
All the best
 
Jamaa yako aombe sana asije pungukiwa pesa
 
Ofsin kwangu nina kawaida ya kuanzisha mada hizi. Siku moja nikasema mwanamke/mwanaume analaana sana ukikutana naye mnashare ile energy na zile laana humpata kila anayeshasex naye nikaona ukimya...kimbe mdada mmoja ofisi mate mumewe ni kicheche akawa amenuna tu
 
Mume unakuwaje na gari kabla ya mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…