MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

Mke huyo ni mwelewa under condition ya kwamba jamaa awe na pesa otherwise sio mwelewa, Tayari kwa sisi wakongwe wa maswala ya anasa na ushenzi hiyo ni Bendera nyekundu.

Jamaa asijiwekeze sana kujipanga na lolote la kutokea, leo kataka kigari hicho je hao wasumbufu wakimwambia sio hadhi yake anapaswa kuwa na Velari?

It is not to early to spot a red flag!

Learn or Perish!
 
Kiukwel mm nampongeza jamaa lkn pongezi zaid nampongeza huyo madam...
.
Kwa ulimwengu wa sasa wanawake wanapitia vishawishi sana ni rahisi kusema mke mwema ashawishiki lkn ulimwengu umebadilika mazee mambo ni mengi.
.
Kama unaweza kufany kitu na kikafanya mapenzi yenu yasonge mbele we fanya tu as long as jambo hilo lipo ndani ya uwezo wako.
 
jifunze kuandika vizuri
 
Kwa kauli hii ya kipumbavu,
Mimi hapo hapo ningeandika Talaka isiyo na tarehe kisha naifungia sehemu salama kabisa,
Na nitaisubiri hiyo Gari yake anayoisema akijanayo tu dakika nyingi,
Naweka tarehe tu ile Talaka nakumkabidhi na hiyo inakuwa ndio kwaheri.
SITAKI UJINGA.
 
Mwanamke kachangamka hadi raha, ngoja nile popcorn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…