Mke wa Alikiba adai talaka


Kiba anavuna alichopanda, kaacha kuoa Kidoti kakimbilia Mombasa!!
Na yule Amina itakuwa ana basha wake anamkula vizuri kule kwanini hatulii kwake?!!
 
Kiba nae alibugi sana kumuoa yule dada. Yule angepiga mimba tu maisha yanaendelea. Angalia sasa, inabidi atafute jopo la mawakili wenye uwezo mkubwa kabla ajapigwa pesa ndefu. Mi nasemaga kila siku humu, mademu wa kikenya wote ni magold digger tu

Tena amkwangue zote…
Hamuoni Mond mwenzie anaacha mbegu anakula kona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mwenzio mke anamdai talaka huku Yuko Mombasa, huku mume anaishije?
Atakuwa kashapata bwana huko Mombasa. Hapa ndio tofauti ya mwanamke na mwanamume.

Sisi hata tukiwa na michepuko huwa hatuhamishi upendo kutoka kwa watu wetu kwenda kwa michepuko

Nyinyi huwa hamwezi kucontrol hisia zenu
 
Story tu hizo, wanawajaza muone ndoa ngumu....mbona wakipewa hawawasimulii kuwa Leo nimepewa cha asubuhi, wakinyimwa vikao hadi Kwa viongozi wa dini🤣🤣🤣🤣
KE akiwa kwenye uchumba, anakuwa anashikilia makali
akiolewa tu, chap wana switch sides, ME anashikilia makali, vchi mpaka aamue KE 😅
 
Huyo mwanamke naye ni kilaza, anaandika mitandaoni badala ya kwenda mahakamani? Mahakama ndio Kila kitu na sheria Ipo wazi . DISERTION NI GROUND YA KU DISSOLVE NDOA NA KUTOLEWA TALAKA.

Sasa yeye anawaza maelekezo ya kizamani yaliyopitwa na wakati ya wa wafuga madevu wa DP world ya TALAKA rejea see sijui TALAKA tatu , au naye hajasoma?
 
Asante manake haya mambo ya maceleb sio kivile, siwafatilii. Ila na nyie, unadhani ukiolewa na Mondy utakuwa peke yako, ama huyo Kiba? Yaani lazima mtapangwa mnyororo na atawaweka hatari, nguvu ya pesa na fame vinambeba.
 
Wambea tumekesha kuanzia Mombasa hadi Dar, Halafu sasa hivi wanataka kuachana kirahisi tu, inaumaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natamani wanirudishie muda wangu kenge Hawa
Wanaachana vipi Kwa mfanooo
 
 
Duuh kwahiyo kumbe kuwapa waume zenu kila siku mnaweza, sasa haya malalamiko yao ya kwamba wananyimwa sana kwa visingizio vya kuchoka yanatoka wapi, au ndio makusudi tu
 
Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kuwezaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh kwahiyo kumbe kuwapa waume zenu kila siku mnaweza, sasa haya malalamiko yao ya kwamba wananyimwa sana kwa visingizio vya kuchoka yanatoka wapi, au ndio makusudi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…