Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Shauri yake! Ataipoteza ile nyumba ya Mikocheni na Masaki. Aishie kukaa kwa makahaba na majambazi Tabata 😂akisaini tu, kugawana mali kunamhusu
safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yake! Ataipoteza ile nyumba ya Mikocheni na Masaki. Aishie kukaa kwa makahaba na majambazi Tabata 😂akisaini tu, kugawana mali kunamhusu
safi sana
Komredi nimesoma zaidi ya mara mbili sijaelewa... hii ni kipande cha nyimbo au ndo ijumaa imeshaanza mzee umependeza tayari?! 🤔🤔🤔Unaweza kufa leo, kisa umemkuta mkeo au mmeo anajirusha na mtu kama kipepeo....
Utapata wapi upendo sikuhizi hakuna, hata ngazi ya familia kuna mambo ya utumwa....
Nala Mzalendo
Akaushe tu ...akisaini tu, kugawana mali kunamhusu
safi sana
Endeleeni kuhamasisha vijana wajiue na punyeto na uzinzi usio na maana wajizidishie magonjwa, laana na mikosi. Waambie kuna njia mpya ya kujichua kwa kutumia mlenda 😌👍🏾Akaushe tu ...
Watagawana mpaka mapato ya kuanzia Song la Cinderella
Mamaae Ndoa ni Wizi
Bora uzinzi kuliko NdoaEndeleeni kuhamasisha vijana wajiue na punyeto na uzinzi usio na maana wajizidishie magonjwa, laana na mikosi. Waambie kuna njia mpya ya kujichua kwa kutumia mlenda [emoji18][emoji1474]
Bora uzinzi kuliko Ndoa
Mambo ya kitapeli sana hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Usiwe na kiherehere cha kuingilia ndoa za watu, usije ukashangaa Bi Amina anapost mtoto wa 3, hawatabiriki wale.
Wako wapi hapa ni kuwazalisha tuWake wema wapo ndugu jambazi nadhifu a.k.a smart gang
Watoto watatu, kila mmoja ana baba yake. Bora kutafuta mwanaume mmoja mkazaa tu hivyo maisha yakasonga.Kwa hiyo na yeye alijua pale kapata mume? Kwa kweli nawaangaliaga jicho la tofauti sana wanaume/wanawake wanaozaa kila mtoto na Baba yake.... Mungu anisamehe, Kama wapo na humu wanisamehe.
Wengi huwa wanachangamoto, wengine hadi watoto wanne kila mmoja na Baba Ake, halafu anatokea mtu huko anajiingiza nae kwenye mahusiano, lazima atoke ndala mkononi🤣🤣Watoto watatu, kila mmoja ana baba yake. Bora kutafuta mwanaume mmoja mkazaa tu hivyo maisha yakasonga.
Bahati mbaya ni kwamba, ndiko tunakoelekea, hili wimbi ni mwanzo tu. Anyway, nimedandia tu, sijui hata Kiba ana mke na anaitwa nani.
Wengi huwa wanachangamoto, wengine hadi watoto wanne kila mmoja na Baba Ake, halafu anatokea mtu huko anajiingiza nae kwenye mahusiano, lazima atoke ndala mkononi[emoji1787][emoji1787]
Kiba ana mke anaitwa Amina, hawa walitufanya wambea tukeshe siku mbili Azam TV kufuatilia ndoa Yao Mombasa.....picha linaanza ndoa (nikah) imefungwa Alfajir[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui ndo mambo ya kuangalizia nyota, lakini wapiii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo na yeye alijua pale kapata mume? Kwa kweli nawaangaliaga jicho la tofauti sana wanaume/wanawake wanaozaa kila mtoto na Baba yake.... Mungu anisamehe, Kama wapo na humu wanisamehe.
Naye shemeji anataka aingiziwe au bado wivutia saini hati ya talaka umpe uhuru mkeo amechoka na umalaya wako, mkia wako unachovya kila shimo atakuvumiliaje?
View attachment 2665760
Akisaini divorce papers!Ukomo wa mkataba wa bandari ni lini...?
Wambea tumekesha kuanzia Mombasa hadi Dar, Halafu sasa hivi wanataka kuachana kirahisi tu, inaumaa🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walijua kutuchosha wambea
Sijui Kwa kweli, kuna Mama mtu mzima nilikutana nae sehemu, ana watoto wanne....kila mtoto na Baba yake.....ndo wanaomjua wakawa wanasema alikuwa anasumbua sana ujanani.Hata watoto wao sijui km wanawaheshimu!!!
Ni tatizo kwakweli.
Wambea tumekesha kuanzia Mombasa hadi Dar, Halafu sasa hivi wanataka kuachana kirahisi tu, inaumaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila kusahau zibulio 🤣Jamaa Anajua tu Akisain ndo Kwisha kazi Watagawana Hadi vile Vimifagio Vifupi vya Chooni.