Mke wa Alikiba adai talaka

Mke wa Alikiba adai talaka

Unaweza kufa leo, kisa umemkuta mkeo au mmeo anajirusha na mtu kama kipepeo....

Utapata wapi upendo sikuhizi hakuna, hata ngazi ya familia kuna mambo ya utumwa....

Nala Mzalendo
Komredi nimesoma zaidi ya mara mbili sijaelewa... hii ni kipande cha nyimbo au ndo ijumaa imeshaanza mzee umependeza tayari?! 🤔🤔🤔
 
Kwa hiyo na yeye alijua pale kapata mume? Kwa kweli nawaangaliaga jicho la tofauti sana wanaume/wanawake wanaozaa kila mtoto na Baba yake.... Mungu anisamehe, Kama wapo na humu wanisamehe.
Watoto watatu, kila mmoja ana baba yake. Bora kutafuta mwanaume mmoja mkazaa tu hivyo maisha yakasonga.

Bahati mbaya ni kwamba, ndiko tunakoelekea, hili wimbi ni mwanzo tu. Anyway, nimedandia tu, sijui hata Kiba ana mke na anaitwa nani.
 
Wengi huwa wanachangamoto, wengine hadi watoto wanne kila mmoja na Baba Ake, halafu anatokea mtu huko anajiingiza nae kwenye mahusiano, lazima atoke ndala mkononi🤣🤣
Kiba ana mke anaitwa Amina, hawa walitufanya wambea tukeshe siku mbili Azam TV kufuatilia ndoa Yao Mombasa.....picha linaanza ndoa (nikah) imefungwa Alfajir🤣🤣🤣 Sijui ndo mambo ya kuangalizia nyota, lakini wapiii?🤣🤣🤣
 
Wengi huwa wanachangamoto, wengine hadi watoto wanne kila mmoja na Baba Ake, halafu anatokea mtu huko anajiingiza nae kwenye mahusiano, lazima atoke ndala mkononi[emoji1787][emoji1787]
Kiba ana mke anaitwa Amina, hawa walitufanya wambea tukeshe siku mbili Azam TV kufuatilia ndoa Yao Mombasa.....picha linaanza ndoa (nikah) imefungwa Alfajir[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui ndo mambo ya kuangalizia nyota, lakini wapiii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walijua kutuchosha wambea
 
Kwa hiyo na yeye alijua pale kapata mume? Kwa kweli nawaangaliaga jicho la tofauti sana wanaume/wanawake wanaozaa kila mtoto na Baba yake.... Mungu anisamehe, Kama wapo na humu wanisamehe.

Hata watoto wao sijui km wanawaheshimu!!!
Ni tatizo kwakweli.
 
Back
Top Bottom