Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

mkuu nipe namba 5
 
diamond anatuwakilisha kuwagonga ngozi waganda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtake radhi kwanza Dem wako, hivi akiona hii thread unazan atajisikiaje?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma saaana!
 
Hahahahaha! Yeah ni mrembo, but jamaani hakuna sehemu niliyoona wanawake wazuri Tanzania kama Manyara
Umemaliza na sikubishii mkuu wale ni warembo afu hata hawajui kama ni warembo wao wanaendelea na maisha tu
 
Mkuu hivi unajua mtaani kuna watoto wazuri balaa, sema matunzo hakuna, na hawajielewi Full mapigo ya khanga

Then Uzuri wa kitu haupo kwenye kitu chenyewe, bali upo kwenye macho ya mtu
 
jiheshimu bwana mdogo au unatokea kolomije nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…