The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
mkuu nipe namba 5Guess hujawahi ona au kukutana na wanawake wazuri ndio shida ya wanaume wa mikoani muda wote mnashindana na Nyani shamban utajua wanawake wazuri wewe..
Kwenye list ya warembo kwangu mqy be anaweza kuwa kwenye top 15...
Fanya research iliyoshiba before hujatoa conclusion zako..