Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
CHADEMA ni wahuni tu wa kisiasa kama walivyo wahuni wengine. Lakini, bora uhuni wa CHADEMA mara mia kuliko uhuni wa CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Rais wetu, huwa anaenda Ulaya kugawa hela eee? Unakijua kilichomng'oa Ndugai uspika?Cdm wanazurura Ulaya na bakuli wakiomba hela
Hadi na Leo mpo chadema haloonamioyo ya kuntuNAANDIKA nafuta NAANDIKA nafuta.
Hii ni Kali ya Mwaka.
# Itoshe tu kusema
Maendeleo hayana chama.
Hayo ya kuliwa mzigo sio issue maana hata mimi nakula mizigo mingine na pia naweza kuwa simridhishi au namkandamiza so anatafuta farajaMke anaenda kukusalit na mwanaume mwingine na hakushirikishi sembuse hilo?
Mke wa lisu syo mwanasiasa.Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na mkewe ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.
Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CDM, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi.
Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.
Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.
We akili zako zimeshilkwa na mkeo unadhani ni wanaume wote akili zimeshikwaHili igizo halijakaa sawa hata sisi tumeoa tunajua uhalisia wa mambo
Ni ngumu saaana mke kabsa kushindwa kukushirikisha jambo kubwa la namna hii labda iwe ndoa mfu
Maana kama hajakushirikisha jambo kubwa na la usaliti la namna hiyo unadhan ana siri ngapi kubwa ambazo hauzijui.
Mahusiano yako na huyo mke wa mtu yalipoanza haukutujulisha, sasa mmegombana unataka kumuumbua mbele ya mumewe!Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na mkewe ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.
Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CDM, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi.
Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.
Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.
Homa inatembezwa juani😂chichi dodo ni yale majinga yasiyopenda mabeberu ila yanapenda hela za mabeberu usiku na mchana yanazurura kuombaimba hela za mabeberu
Rudini kwenye hoja wacheni kujitoa betri 🤣.Mahusiano yako na huyo mke wa mtu yalipoanza haukutujulisha, sasa mmegombana unataka kumuumbua mbele ya mumewe!
At least we now know know that Tundu Lissu anakula NHIF ya Marekani na Makamo KM wa CHADEMA anakula CCM, maana, moto utakapowaka wenzetu wana pa kwenda.MaCHADEMA hayaaminiki yamejaa unafiki mkubwa. Majukwaani madomo juu halafu usiku yanagawana ruzuku. Majinga sana haya manyumbu.
Naunga mkono hojayakoHili igizo halijakaa sawa hata sisi tumeoa tunajua uhalisia wa mambo