Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

Sasa hawa,ngazi ya chama tu wanakua na nepotism ya namna hii,siku wakipewa nchi itakuaje?
 
Point ni kwa nini CCM wamenvunja sheria zote za nchi na kuwakumbatia hawa ma Covid -19 ? wakati wanaiba kura uchaguzi mkuu hawakujua kuna akidi inatakiwa bungeni ili ku balance upinzani? yaani unaiba hadi unapitlizia kiwango afu unaanza kuhangaika.
Hii ni aibu kubwa sana kwa hiki chama.
CCM itakuwa imeshirikiana na viongozi wa juu wa Chadema kuwaweka wale COVID-19 ebu wewe mwenyewe tizama hili Mke wa Bamaga, Bamaga alikuwa kiongozi mkubwa tu katika chama kabla ajajiuzulu

Mke wa Kigaila Naibu katibu Mkuu,Matiko mzazi mwenzie na Salum Mwalimu, Nusrat mzazi mwenzie na Mnyika katibu Mkuu wa chama!!!!! nk,nk

Ndugu yangu Fusso mwenye macho aambiwi tazama na akili za kuambiwa changanya na zako
 
Pointless, Mkeo ni mkeo na wewe ni wewe, na ndiyo maana ukifanya kosa wewe tunakushughulikia wewe mwenyewe mkeo hatatuhusu kabisa.
Wewe ukiwa kibaka tunakushughulikia wewe mwenyewe mkeo hatutakuwa na shida na yeye.
 
mimi mara zote huwa nawaambia chadema sio chama ni genge la wahuni ,katika wale 19 karibia wote waume zao au wapenzi wao ni viongozi wa chadema! ndio maana hata siri za vikao vya chadema zinamfikia halima mdee haraka sana. kwa sababu hata anaemkunja halima mdee ni kiongozi mkubwa tu wa chadema!
Inasikitisha sana
 
Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na mkewe ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CHADEMA, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi.

Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

kinachonishangaza toka enzi kigali na mrema wapo tu kwenye uongozi hivi wanapatikanaje hawa?
 
Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na mkewe ameshashiba, anasema ubunge wa Mkewe so halali.

Mke wa Benson Kigaila ni moja kati ya wabunge 19, maarufu COVID-19, Kigaila ni moja ya maafisa wa juu kabisa wa CHADEMA, Naibu Katibu Mkuu, hii inanipa hisia kwamba ni kweli chama kiliwateua, lakini kililazimika kuwakana baada ya mke wa Lissu kukosa nafasi.

Waliokuwepo walijimegea na kimsahau Lissu. Akawatisha kuondoka Chadema kama hawataondoa listi ya wabunge hao.

Kingine cha ajabu, wanahamasisha Watanzania waingie mitaani, sijui katiba mpya, zikitokea nafasi wanawapa wake zao.

Kabadilishe gagulo hiyo
 
FATMA karume ni mtota wa RAIS na Mjukuu wa Rais na BAbU YAKE na Baba yake wamemsomesha kwa hela za CCM lakini anaipinga CCM , hii imekaaje?
 
Mimi kinachonishangaza % kubwa ya walioteuliwa/jiteua ni wake wa viongozi au michepuko yao
Kinachonishangaza huyo kunti majala alikuwa na ndoa nyingine, baada ya kupewa ubunge kumbe ndoa yake ya kwanza nayo ikafa!
 
FATMA karume ni mtota wa RAIS na Mjukuu wa Rais na BAbU YAKE na Baba yake wamemsomesha kwa hela za CCM lakini anaipinga CCM , hii imekaaje?
Fatma Karume ni muigizaji tu sio mpinzani wa kweli umemuona sasa alivyotulia?
 
Wewe umeyajuaje mambo ya jikoni kwa huyo mama? Tuanzie hapo.
Jibu hoja ya mleta mada. Je wakati huyo COVID-19 anakwenda kuapa hakumjulisha mumewe tena Boss mkubwa mwenye kuongea mishipa ya shingo imemkakamaa. Yaani katika wafia dini wa ufipa huyo jamaa yumo kumbe hamna lolote. Hakuna Cha uzalendo Wala haki kama CDM wanavyojidai. Kumbe ni njaa na ujuaji wa kipumbaff kabisa. Huwezi kuukana ukweli huo kwamba Boss huyo hakujua nkewe alikuwa amepata uteuzi wa viti maalum.
CDM ndio hapo tu mnapochemkia.
 
Back
Top Bottom