Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

We akili zako zimeshilkwa na mkeo unadhani ni wanaume wote akili zimeshikwa
Unaelewa kweli ulichoandika au unaandika huku tuzi ikiwa wazi inakuuma

Sasa nani alieshikiwa akili kati ya anaeshirikishwa mambo makubwa na mkewe au ambae hashirikishwi na mkewe anaungana na maadui zake ili kumkomoa.
 
Slaa alikuwa katibu mkuu Chadema mkewe Rose alikuwa CCM, hayo yalikuwa mambo yao ya nyumbani.
Siasa zako ni za kitoto na kwa mtu anayejitambua hawezi kuhoji wala kushabikia siasa za kijinga.
 
Mkataba wa mke na mume hauna uhusiano wowote na mahusiano ya mama na mtoto.

Ndoa ni mkataba
Mbona nmekwambia Kuhusu kafulila na Kishoa au hao Sio mke na Mme? Zitto alioa mbunge wa CCM!! Same to Dr Slaa, Sasa kipi kipya hapo?

Hao wote Ina maana zikija kampeni wanagawanyika mizunguko Yao Sasa Kama Hilo linawezekana why kuapa kwa siri kusiwezekane? Unless unataka ndoa ivunjike ndio uone jamaa yupo serious!! Yaani avunje ndoa kisa siasa!?
 
M
Mkuu kulikuwa na huu Uzi hapa:

Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

Unasema je kufanana na kutofautiana ki maudhui na Uzi wako?

Mwongozo wako tafadhali.
 

Ujaoa ndo maana huwezi elewa haya mambo,
 
Qwi! Qwi!Qwi!, Ntarudi kesho, tuko kwenye hafla za kitaifa, si unajua ukimiliki ikulu sherehe haziishi, ugeni wa hapa na pale, bafee kama zote

Sawa mkuu ila usisahau nitasubiria mwongozo wako 🤣🤣
 
Maisha ni sanaa na ujanja ujanja lasivyo utajakufa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…