Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Wenye biashara zao sasa hivi wapo busy kuzitumikia hata huu uzi hawajauona. Wengine wapo huko kwenye jukwaa la biashara.
Uzee ndugu yangu uzeeeπ π π
Chuma cha nini tena mkuu.?
Jamaa angeingia kingi kibwege mno. Huyu somo la ujasusi ana 0% (F). Hafai kuwa ndani ya idara nyeti katika nchi.[emoji23][emoji23]
Sio kwamba utajiuliza kuwa huo NI mtego wa boss wako na Mkeo dhidi yako Kwanza?
Yusufu hakuwa mjinga πNa hapo ndipo Yusufu alipompiga Gap Daudi Kwa mbali Mno kwenye ishu za Mafanikio
Aah wapi hunipatiπ πNina siku nyingi sijaona tukizozana. Nakutafutia chuma ambacho kitakutoa pangoniππ
Aah wapi hunipatiπ π
Unafikiri huwa sizioni? Nazipita kwa spidi ya sgr. Nalinda moyo wangu staki pressure
Jamaa angeingia kingi kibwege mno. Huyu somo la ujasusi ana 0% (F). Hafai kuwa ndani ya idara nyeti katika nchi.
Asante sanaπππ
Demi bhana!
Kila la kheri Mkuu
Usipoanza wewe, yeye ndiye atakayeanza kusema kwa boss kuwa unamtaka kimapenzi.Huoni kuwa utawagombanisha?ππ
Na Amani Yao ndio Amani yako hapo?
Usipoanza wewe, yeye ndiye atakayeanza kusema kwa boss kuwa unamtaka kimapenzi.
Jibu safi kabisa!Muache aseme
Hii mitego inakuwaga ngumu Sana kuchomoa.Kunasa Ni rahisi ila matokeo Yake Sasa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu unazungumzia mke yupi, maana boss kila bibie wa ofisini mkewe, tuanzie hapo. [emoji23]
Mke wa jirani yangu alinisaliti kwa kutembea na kinyozi wa hapo mtaani kwao.Fafanua Mkuu
Bado umesimama ukiwa umetekewa,
tamaa na utashi wako vikipigana vikali nafsini Mwako. Je utamkubalia au utamkatalia MKE wa boss wako?
Kwa kweli hapa umeongea kitu.Kwa jinsi technology ilipofikia kwa sasa, unam record mazungumzo yote kisha unampelekea boss.
Kamwe usiruhusi ngono ikaharibu kibarua chako.