Si aandike taraka amuache mbona anatafta huruma ya watu sasa
Ttzo baadhi ya wanawake uwa hawajui wanataka nn sasa apo anataka mgao wa mali ila anajitoa akili kutafta huruma ya wajinga wachache
Ndoa inaruhusu mwanamke pia kumwacha mwanaume nazan afanye ivyo aendelee na maisha yake
Mnachochea uhuni tu, huwezi kusema umemchoka mumeo kama unavyoichoka nguo unayovaa, na huko anakotaka kwenda tena aje kusema amechoka baada ya muda fulani, huu mnaotetea hapa ni uzinzi tu, akae na mumewe atazoea maisha yataenda vizuri.
Hivi kwa mfano mwanamke anadai talaka mahari aliyotolewa wakat anaolewa anairudisha?? si kataka mwenyewe kuondoka kama mahari hairudishwi naomba huu utaratibu wa kurudisha mahari uanze haraka
Maana kama mnajali haki, mgeanza kupigania suala la kutolewa mahari wakati wa kuolewa maana sio haki Kwa mwanaume kukulipia halafu watoto muanze kusema "usinichapie wanangu" talaka udai Mali mgawane na matunzo ya mtoto udai? Huo ni uhuni