Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Takhbiiiiirrrrr !!!
 
Swali ni kwamba ana mamlaka ya kuvunja ndoa?tusizungumzie mazoea
Kama Bakwata wana mamlaka ya kutoa vyeti vya ndoa basi mamlaka ya kuvunja ndoa pia wanayo Bakwata. .

Yule doctor Mwaka anajuwa baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni kugawana Mali,

Hicho ndy anakihofia Zaidi lakini sio talaka.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Imemuuma sana kuachwa badala ya yeye kuacha daah. Toka kutamba ndoa ya wake watatu mpaka kubakiwa na mke mmoja
Kinachomuumiza ni mkewe kuolewa mara baada ya talaka.,
Ndy maana analeta utata wa talaka ili mke asiolewe.


Siku zote ukiona mwanamke anakupeleka kwenye vyombo vya Sheria anadai talaka kwa nguvu,

Ujuwe Kuna mwanaume stand by anampush talaka ili aoe jumla.
Na ndy maana dr Mwaka akatishia kumpeleka mahakamani yeyote atakayeoa mtalaka wake,

Nadhani ameshajuwa aliyekuwa mkewe tayari ana mahusiano na mwanaume mwingiine,
Kinachosubiriwa ni talaka ili mtalaka aolewe...

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
🤣 Mwamba ataaibika vibaya, mtoto kashapata shefa tayari linataka libebe mazigo jumla jumla. Si mnaelewa mitoto ya kisukuma ilivyo na huba lakini.
 
Kwahio hili baraza halina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote,mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama ya Kadhi baada ya jitihada za kusuluhisha kushindikana,huko nako bado sijawahi kuitwa japo mke wangu alipeleka shauri.

Je utaratibu ukoje wadau?
Msubiri Kadhi naye ataitwa Clouds
 
[emoji1787] Mwamba ataaibika vibaya, mtoto kashapata shefa tayari linataka libebe mazigo jumla jumla. Si mnaelewa mitoto ya kisukuma ilivyo na huba lakini.
Leo nimeona video clip jamaa anaongea matusi mazito kwa shehe wa mkoa wa Daresalaam ,,
kwamba ni mla wake za watu tena kinyume na maumbile.
Na ushahidi anao kwamba shehe anazibuwa mitaro.

Lile jazba la Mwaka Kuna kitu kizito nyuma sio bure.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vyombo vyote unavyovisema sijui baraza la usuluhishi huku vipo,, na kuna miongozo inafuatwa kabla ya yote,, hicho kitendo cha ndoa kuvunjwa ni kitendo cha mwisho kabisa baada ya kushindikana kila kitu, na kwakuwa wahusika ni binaadamu,, na kawaida ya binaadamu kama alivyo mfano wa huyo dada akichoka kuishi na mume/mke inakuwa basi, hapo ndoa inavunjwa,, na hata huko unakosema kwenye mahakama za kiserikali mara nyingi ukipeleka kesi hizi za ndoa hasa za kiislam, wanawaambia waende kwenye mabaraza ya usuluhishi ndani ya mahakama ya kadhi,,
 
Nchi haindeshwi Kwa Sheria za dini. Jitambue
 
Hatari sana yawezekana maadui zake wameungana. Mkomoo upo kazini
 
[emoji3064][emoji28][emoji2][emoji847][emoji125][emoji125][emoji1][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…