Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takhbiiiiirrrrr !!!Uislam umeeleza wazi kabisa kwamba kama utashindwa kumhudumia na kumtimizia mkeo haja zake za kindoa kwa muda mrefu ndoa inavunjwa.
Sasa huyo mganga mwaka ametelekeza mwanamke mwaka mzima ,
Kimwili na matunzo mfano chakula ,tendo la ndoa,
Sasa mwanamke sio binadamu?
Kwa kifupi mganga Mwaka ndy alimuacha mke siku nyingi na akaamua kuoa mke wa 3..
Atulie Sheria za Dini zifanye Kazi.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kama Bakwata wana mamlaka ya kutoa vyeti vya ndoa basi mamlaka ya kuvunja ndoa pia wanayo Bakwata. .Swali ni kwamba ana mamlaka ya kuvunja ndoa?tusizungumzie mazoea
Kinachomuumiza ni mkewe kuolewa mara baada ya talaka.,Imemuuma sana kuachwa badala ya yeye kuacha daah. Toka kutamba ndoa ya wake watatu mpaka kubakiwa na mke mmoja
🤣 Mwamba ataaibika vibaya, mtoto kashapata shefa tayari linataka libebe mazigo jumla jumla. Si mnaelewa mitoto ya kisukuma ilivyo na huba lakini.Kinachomuumiza ni mkewe kuolewa mara baada ya talaka.,
Ndy maana anaweza utata ili asiolewe.
Siku zote ukiona mwanamke anakupeleka kwenye vyombo vya Sheria anadai talaka kwa nguvu,
Ujuwe Kuna mwanaume stand by anampush talaka ili aoe jumla.
Na ndy maana dr Mwaka akatishia kumpeleka mahakamani yeyote atakayeoa mtalaka wake,
Nadhani ameshajuwa aliyekuwa mkewe tayari ana mahusiano na mwanaume mwingiine,
Kinachosubiriwa ni talaka ili mtalaka aolewe...
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Msubiri Kadhi naye ataitwa CloudsKwahio hili baraza halina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote,mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama ya Kadhi baada ya jitihada za kusuluhisha kushindikana,huko nako bado sijawahi kuitwa japo mke wangu alipeleka shauri.
Je utaratibu ukoje wadau?
Leo nimeona video clip jamaa anaongea matusi mazito kwa shehe wa mkoa wa Daresalaam ,,[emoji1787] Mwamba ataaibika vibaya, mtoto kashapata shefa tayari linataka libebe mazigo jumla jumla. Si mnaelewa mitoto ya kisukuma ilivyo na huba lakini.
Mkwara tu!! Ndoa za kujianika mitandaoni ni ushamba.
Yule mwenzie kaachwa akaanza kuweweseka kwa kufanya birthday ya uzeeni,,Kuachwa hakujawahi acha moyo salama.wanaume bhana,wakipata kukitunza hawawez kukiacha hawataki[emoji135]
Hicho kifaa kina tackle linalofaa?Sheikh wa mkoa anataka kumzunguka mwaka achukue kifaa
Hivyo vyombo vyote unavyovisema sijui baraza la usuluhishi huku vipo,, na kuna miongozo inafuatwa kabla ya yote,, hicho kitendo cha ndoa kuvunjwa ni kitendo cha mwisho kabisa baada ya kushindikana kila kitu, na kwakuwa wahusika ni binaadamu,, na kawaida ya binaadamu kama alivyo mfano wa huyo dada akichoka kuishi na mume/mke inakuwa basi, hapo ndoa inavunjwa,, na hata huko unakosema kwenye mahakama za kiserikali mara nyingi ukipeleka kesi hizi za ndoa hasa za kiislam, wanawaambia waende kwenye mabaraza ya usuluhishi ndani ya mahakama ya kadhi,,Mkuu unaelewa hatua za kusajili na kuvunja ndoa kwa mujibu wa sheria zetu? Iwe imefungwa kidini, kijadi au bomani? Ndoa zote zinafungwa chini ya mwamvuli mkubwa wa Sheria za nchi Mzee…
Unaelewa lolote juu ya baraza la usuluhishi kabla ya talaka? Shikilia maoni usiongee ukapitiliza!
ndo nini hii,, afu sijajua kumbe na wewe mnafiki kiasi hiki,,, uzi wako umekaa kiumbea na kashfa dhidi ya imani nyingine,, sasa tukikupa uongozi wewe na chama chako hicho unachokinadi humu kila siku utaweza kweli kuongoza makundi ya watu wote kwa usawa!!Takhbiiiiirrrrr !!!
Nchi haindeshwi Kwa Sheria za dini. JitambueMahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,
Wote tunafahamu nchi haiendershwi kwa sheria za dini, lkn pia nchi inatambua uwepo wa dini na ndio maana hata kwenye kiapo cha hao waendesha nchi( wanasiasa)msahafu na bibilia hutumika!Nchi haindeshwi Kwa Sheria za dini. Jitambue
Hii ni baada ya kupinga Kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji.
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM, kwahiyo hana imani naye.
Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.
Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza
Shehe akawa hana ujanja