Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

ila jamaa mfuko uko poa, sijajua sa ivi
kuna miaka anakamata airtime ya mpaka dk 30 redioni, na tv, kila baada ya mda x

Mambo yanabadilika halafu issue zake hazina mkwanja wa kudumu kivile labda awe na biashara nyingine, angekua na pesa asingegombania nyumba na kuacha kusomesha watoto yule ni mgonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom