Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Last born wa monalisa anafanana sana na huyu jamaa. Kuna comment niliona ikisema ni mwanae

Yaani mganga hajigangi nataka kumsitiri mke wake , vacation nampeleka newala tunaenda kula korosho muda mwingine nampeleka mwanza akanywe maziwa mgando, ugali wa muhogo na sato wa kuchoma huku watoto napeleka shule hata ya day amsahau dr mwaka awe na amani
 
Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

View attachment 2493377
Hii ghiriba kali sana anafanyiwa kamanda mwaka chombo imesimama hii si mchezo
 
Back
Top Bottom