Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mambo yanabadilika halafu issue zake hazina mkwanja wa kudumu kivile labda awe na biashara nyingine, angekua na pesa asingegombania nyumba na kuacha kusomesha watoto yule ni mgonjwa wa akili
huyu dokita mwaka ni dini gani?
 
Aisee
 
Jamaa kaachwa na mke mkubwa lakini hataki kutoa talaka, anamchimba mwanamke biti hatari...na anatumia jina lake kumkomoa huyo mwanamke
Hivi yule mkewe wa kwanza tuli mwaka walishaachana ama? Maana naona huyu wa pili ndio anaitwa mkubwa!
Tuli mwaka ndio aliyeanza naye maisha huyu wa pili na wa tatu aliwaoa baadaye
 
Chief ni hivi vyovyote itakavyokuwa haiapply katika Uislamu.

Uislamu umejitoshereza Kwa sheria zake ndio maana tulitaka mahakama ya kadhi kwasababu kama hizo,huko Zanzibar wamefanikiwa Wana mahakama ya kadhi ambayo inasimamia sheria za kiislamu,huwezi kuta upuuzi unao upigania.

Ni makosa makubwa Sana kulinganisha mambo ya Dini na ya kiserikali Kwa watu ambao hata hawana weledi na Dini husika pamoja na sheria zake.
 
Natamani nitoe elimu ya sheria ya ndoa, watanzania wengi wapo gizani. Sio waislamu tu hata wakristo walio wengi hawaelewi chochote.
Hata ukitoa Kwa waislamu tuna yetu Chief kwahiyo tunajitoshereza ila si vibaya ukatoa Kwa ufahamu Tu WA jumla huenda ikawafaa baadhi ya watu.
 
Hizo ni story za abunuasi. Hakuna kilichojitosheleza hapo, mapungufu ni kibao ni kwa sababu hamruhusiwi kufanya amendment au kuhoji. Na hii ilisababishwa na baadhi ya watu kunyimwa elimu ya kawaida na kukaririshwa hiyo ilimu . Ona Sasa zama hizi za utanda wazi wale wanawake mliokuwa mnawafungia ndani Sasa wanatokana kuandamana hadi msikitini kudai haki zao na wao wanatambua kuwa mahakama Ipo ndio maana wanaomba certificate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…