Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mtu yeyote akiwa na maneno mengi basi ana dalili za kuwa muongo.
Kwahio unataka kusema dr mwaka ni muongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu yeyote akiwa na maneno mengi basi ana dalili za kuwa muongo.
huyu dokita mwaka ni dini gani?Mambo yanabadilika halafu issue zake hazina mkwanja wa kudumu kivile labda awe na biashara nyingine, angekua na pesa asingegombania nyumba na kuacha kusomesha watoto yule ni mgonjwa wa akili
Muongo muongo sana yule, si umeona sasa anatufundisha namna ya kuishi na wanawake kumbe yeye yanamshinda.Kwahio unataka kusema dr mwaka ni muongo
Wakuu
Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.
Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.
Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.
View attachment 2493377
Muongo muongo sana yule, si umeona sasa anatufundisha namna ya kuishi na wanawake kumbe yeye yanamshinda.
Sahihi kabisaWee uliona wapi mwanaume kuweza kumudu wake watatu mwanamke peke anaweza mudu wanaume 6 na wote waka cool yulee mjanja wa mjini
Sahihi kabisa
Wao wanataka kushow off na wanawake ili kuficha mapungufu yao mengine.Amuulize manara kashindwa nini? Na mdomo wake ule
Wao wanataka kushow off na wanawake ili kuficha mapungufu yao mengine.
Achana na huyo mama. Unajuwa kakimbia nini kwa Mwaka? Sidhani kama atakuwa hajamuingilia nyuma na kumvuruga sana. Na hicho ndiyo anakimbiaKuna mtu ana Namba ya huyo mama ?
DuhAchana na huyo mama. Unajuwa kakimbia nini kwa Mwaka? Sidhani kama atakuwa hajamuingilia nyuma na kumvuruga sana. Na hicho ndiyo anakimbia
Hivi yule mkewe wa kwanza tuli mwaka walishaachana ama? Maana naona huyu wa pili ndio anaitwa mkubwa!Jamaa kaachwa na mke mkubwa lakini hataki kutoa talaka, anamchimba mwanamke biti hatari...na anatumia jina lake kumkomoa huyo mwanamke
Na Uyo Tuli ameachwa,kabaki na mke mdogo tu.Hivi yule mkewe wa kwanza tuli mwaka walishaachana ama? Maana naona huyu wa pili ndio anaitwa mkubwa!
Tuli mwaka ndio aliyeanza naye maisha huyu wa pili na wa tatu aliwaoa baadaye
Alooh!!!Na Uyo Tuli ameachwa,kabaki na mke mdogo tu.
Chief ni hivi vyovyote itakavyokuwa haiapply katika Uislamu.Huelewi lolote kuhusu sheria ya ndoa zaidi ya kukariri mistari ya dini yako. Tafuta miongoni mwa waumini wenzako waliobahatika kusoma wakufundishe jurisprudence ya sheria ya ndoa ya Tanzania ,historia yake, magumu yake na nguvu zake dhidi ya sheria za kimila na kidini
Hata ukitoa Kwa waislamu tuna yetu Chief kwahiyo tunajitoshereza ila si vibaya ukatoa Kwa ufahamu Tu WA jumla huenda ikawafaa baadhi ya watu.Natamani nitoe elimu ya sheria ya ndoa, watanzania wengi wapo gizani. Sio waislamu tu hata wakristo walio wengi hawaelewi chochote.
Hizo ni story za abunuasi. Hakuna kilichojitosheleza hapo, mapungufu ni kibao ni kwa sababu hamruhusiwi kufanya amendment au kuhoji. Na hii ilisababishwa na baadhi ya watu kunyimwa elimu ya kawaida na kukaririshwa hiyo ilimu . Ona Sasa zama hizi za utanda wazi wale wanawake mliokuwa mnawafungia ndani Sasa wanatokana kuandamana hadi msikitini kudai haki zao na wao wanatambua kuwa mahakama Ipo ndio maana wanaomba certificateChief ni hivi vyovyote itakavyokuwa haiapply katika Uislamu.
Uislamu umejitoshereza Kwa sheria zake ndio maana tulitaka mahakama ya kazi kwasababu kama hizo,huko Zanzibar wamefanikiwa Wana mahakama ya kadhi ambayo inasimamia sheria za kiislamu,huwezi kuta upuuzi unao upigania.
Ni makosa makubwa Sana kulinganisha mambo ya Dini na ya kiserikali Kwa watu ambao hata hawana weledi na Dini husika pamoja na sheria zake.