Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Akihojiwa na Katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,Dk Mwaka amesema kwamba ndoa yake mpaka sasa haijavunjwa kwa sababu Sheikh wa mkoa hana mamlaka ya kuvunja ndoa bali Kadhi.

Mashauri ya ndoa hushughulikiwa na kadhi kuanzia ngazi ya kata,wilaya,mkoa na Taifa,hivyo anahoji huyo Sheikh katoa wapi mamlaka ya kuvunja ndoa?

Huku akiwa ameambatana na mkewe, Dk Mwaka alisema kwamba kama huyo Sheikh angekuwa smart angalau angelipeleka kwa Kadhi ndio baadae atangaze baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa hukumu, lakini he was not that smart.

Aliendelea kuhoji, hilo baraza lililiovunja ndoa yangu ni lini liliwahi kunisulihisha Mimi na mke wangu?Ndoa huvunjwa baada ya mashauri kufanyika kwanza,wakishindwa shauri hupelekwa kwa Kadhi ambae nae baada ya kutusikiliza wote ndio hutoa hukumu.

Kwahio hili baraza halina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote,mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama ya Kadhi baada ya jitihada za kusuluhisha kushindikana,huko nako bado sijawahi kuitwa japo mke wangu alipeleka shauri.

Je, utaratibu ukoje wadau?
 
Sisi tunajua shekh keshafanya yake na yule mama Yuko free.
Siku zote masheikh ndio tunaowaona wakifungisha ndoa, iweje Mambo yakiharibika kadhi ndio aingilie?
Binafsi namkubali Sana sheikh wa mkoa wa Dar. Yule muungwana ana busara Sana, mpaka kufikia uamuzi ule lazima Kuna uovu aliuona kwa huyu sangoma.
 
wavaa kobazi walishawi kuvunja ndoa ya mshikaji wangu kule tanga.
Yani na msindikiza kesi ya talaka anaamulia sheik tena mwanaume mzima anakazia talaka mbele ya mama mkwe. Bahati nzuri kesi ilikuwa siyo yangu nikatoka nje ya ofisi kufata bia ya kilimanjaro nikakuta soda za anjari nilikasirika.
 
Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.

Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza

Shehe akawa hana ujanja
 
Back
Top Bottom