Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

Then hiyo kazi haikufai tafuta kazi nyingine utafungwa karne hii bado unawaza kutumia nguvu
 
One day utakuja ku regret kwenye kauli za hivi mbaya zaidi MAISHA HAYANA ⏪

Easy fuata ushauri Kama wadau wengi wanavyo kushaur VIOLENCE HAUJAWAI saidia hata Kama ulikua unadai iyo 75k utatumia gharama zaidi ya hio
 
Another illogical dingbat with no iota of sense in his ramblings.

Kama riba ni kubwa kwani Kuna mtu huwa anawalazimisha kuchukua mikopo?

Kwani si taratibu zote huwa wanapewa hapo awali na mikataba huwa wanaisoma kabla hawajaijaza mahala popote??

Kuhusu kufanya tathimini una habari kwamba hao wenyewe tu unakuta anakuonesha biashara ambayo sio yake na anachezea dili na mwenye biashara halisi?

Yaani wewe uje uchukue mikopo, halafu kwenye marejesho ndio unakuja kujua kwamba riba ni kubwa??

Nyie badala ya kutoa elimu kwa hao wadaiwa sugu wasioheshimu mikataba, mmebaki kushusha lawama kwa wakopeshaji na kuwaita wahuni ilihali wao ndio wanaofanyiwa uhuni na wateja wao?? Wewe jamaa vipi..

Hakuna mtu mwenye tamaa na vitu vya mtu, mbona wanaolipa wao hawachukuliwi vitu vyao?
 
You have said it all Sir

Wenye masikio na wasikie 🙏
 
Ndivyo inavyotakiwa , hakuna kuchekeana kwenye kulipa madeni
Watu wanafikiri hela zinaokotwa wanatafuta tafuta huruma za kipuuzi tu...!!

Mtu kaja kukopa baada ya kutatua shida zake anakuwa mzito kwenye kurudisha hela kwa wewe mkopeshaji...

Anatoka kwake usiku na kurudi usku na simu hapokei, Sasa anataka umfuate saa ngapi??
 
Hilo tatizo tunalo Wabongo wengi sana....

Tunapenda kukopa ila kulipa hatupendi.

Ukitaka kuona hilo, angalia Vijana waliokopeshwa boom na Serikali wakiwa vyuoni, linapokuja suala la kukatwa kwenye Mishahara yao wanavyolalamika 😜🙌
Ndio maana Kuna muda huwa naona Moja ya biashara ambayo mtu hatakiwi kabisa kufanya na wabongo ni pamoja na hii ya KUKOPESHA...

Nina muda kidogo kwenye hii sekta, najionea wabongo walivyokuwa na roho ya kupenda sana kupokea hela, ila hawapendi kabisa kulipa madeni na unakuta mtu hela ya kulipa anayo ila anona akilipa deni ni kama vile anaigawa yaani roho Inakuwa inamuuma sana kutoa hela yake mfukoni eti kusudi alipe deni....

Ndio maana benki za wahindi huwa hawakopeshi kabisa waswahili hata uwe na vigezo hawakupi mkopo
 
Hiyo ni manslaughter. Hapo mwamba Kibatala akipewa washtakiwa watatoka.
 
Hatari sana Mkuu

Kuna Mwaka nilikuwa na 20M nikawa na wazo la kuanza kukopesha, baadaye nilighairi baada ya kuona usumbufu wa wanaopata hizo Kampuni za kukopesha
 
Wewe kubwa jinga una point gani uliyoiandika tangu umeanza kuchangia hii mada?

Yaani tangu nasoma comment yako ya kwanza unaandika kitu kile kile tu ambacho hakina mantiki hata kidogo,mbayuwayu wa Maziwa wewe...

Umekazana kutetea tu hapa kasumba ya kishenzi ya kutokulipa madeni inayowatafuna watanzania wengi ukiwemo wewe nguruwe pori...

Watu wamekupa hoja zenye mantiki huko nyuma lakini kwa vichwa lako Hilo haujaelewa hata kidogo...

Acheni kutetea upumbavuu ukikopa hela za watu kumbuka kulipa deni kwa wakati uone kama utasumbuliwa...nyau wewe
 
Tuacheni utani wanaume, ana macho mazuri na midomo rojorojo baada ya eda naenda kumsitiri.Dua zenu
 
Unatia hata huruma nenda ukawasaidie wenzako wapo selo sasa hivi baada ya kuwa majumbani kwao kwa ujinga,huku bank inaajiri watu wwngine wanaendelea na kazi zao na hawatofanya tena huo ujinga wa kutumia nguvu sasa hivi wameshawakana hadi wafanyakazi wao
 
Na kama huyo mwana ndoa mmoja aliyechukua mikopo alidanganya kuwa Hana mume, mme wake ameshafariki hapo kosa la nani? Na maafisa mikopo wachukue hatua gani? au ndio wahesabu maumivu?
Wanatakiwa wafanye-verification ya hizo mali kwenye mamlaka zinazohusika kwa mfano kama nyumba kupitia ardhi utajua mmliki ni nani, TRA, Halmashauri na serikali za mitaa/vijiji ni mamlaka zinaweza kusaidia wakati wa verification lakini inategemea na mali husika.
 
Hatari sana Mkuu

Kuna Mwaka nilikuwa na 20M nikawa na wazo la kuanza kukopesha, baadaye nilighairi baada ya kuona usumbufu wa wanaopata hizo Kampuni za kukopesha
Aise ungejuta sana kama ungezimwaga huku...

Hii sekta huwa ni kamali tosha.

Wabongo Wana akili za kipuuzi sana, unakuta mtu anakopa hili aende akalipe deni sehemu nyingine, halafu akishaishika hiyo hela haendi kulipa yote analipa nusu kisha nusu anapeleka kwenye mambo mengine... Na hivyo anajikuta ameongeza deni badala ya kupunguza deni. Mwisho wa siku kulipa Inakuwa taabu.

Kuna watu hususani akina mama unakuta hataki kuleta rejesho mpaka aone wenzake wameleta, na ikitokea wenzake wamelaza na yeye analaza kwa makusudi kabisa..

Hii sekta ni ngumu sana kutokana na aina ya jamii tuliyonayo.
 
You are exploiting the most vulnerable members of the society. Shame on you.
 
Bana nyie washaurini wake zenu wawe wanalipa madeni yao kwa wakati hamtaona haya matukio mnayoyapigia kelele humu.
 
Bana nyie washaurini wake zenu wawe wanalipa madeni yao kwa wakati hamtaona haya matukio mnayoyapigia kelele humu.
Sisi hatupigi kelele ila tunaelekeza sheria zilivyo ukija ukaenda tofauti wewe na muajiri wako wote mtapata tabu, ndio maana unaonaa oya leo anavyowakana wafanyakazi wake ambao wameenda kinyume na sheria
Oya ndio anayehangaika sasahivi kusafisha jina lake na hapo bado kuna penalties za bot lazima aadhibiwe ndio utaratibu ulivyo
Watu wataendelea kukopa kwa mujibu wa sheria ila ukidai kinyume na sheria jela inakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…