Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

Kesi kama hizi ndio lisu anapaswa kuonesha uwanasheria wake.

Na sio zile za kulikomoa Taifa.

Hapo ikishaisa kesi ya jinai.

Huyo mama afungue kesi ya madai t
Dhidi ya hao wafanyakazi na kampuni ya Oya.

Awadai fidia kwa mamilioni kama si mabilioni.
 
Mimi nasema kama Kifo, Umaskini wangekuwa watu,nisikaa kuwasalimia hata wangekuwa member wa JF,nisingechangia hoja zao!
Yaan,
Bora ya kifo ni wajibu ni Jambo la muda WOTE kitatuitaji siku moja tusiyo ifahamu.

Umaskini ni kitu nacho kichukia Sanaa ukipata nafasi Maisha ni kuukimbiza umaskini kilometer nyingi sanaaa 1000kms ata usiweze kukupata.
 
Sema umaskini wa bongo kuna namna tumeuendekeza mwenyewe tu, nchi ina kila aina ya rasilimali na ardhi nzuri kwa kilimo haiwezekani kuwe na umaskini mkubwa hiviπŸ€”
Umaskini UNAANZIA KICHWANI kukosa ELIMU SAHIHI,
Yaan,
Umaskini wa akili ni mbaya Sana hatuzioni fursa zilizopo hapa Kuna muda flani huwa naogopaga Sana haya Maisha na hatma zetu.
 
Ukigongwa na gari la CocaCola utataka kampuni ifungwe sababu haikupewa kibali cha kugonga watu?

Hayo makosa ya wafanyakazi sio maelekezo ya kampuni. Yeye alileta ugomvi wakamzidi bahati mbaya na sheria ichukue mkondo wake. Kampuni haiwezi fungwa kwa makosa binafsi ya wafanyakazi wake.
 
Kesi kama hizi ndio lisu anapaswa kuonesha uwanasheria wake.

Na sio zile za kulikomoa Taifa.

Hapo ikishaisa kesi ya jinai.

Huyo mama afungue kesi ya madai t
Dhidi ya hao wafanyakazi na kampuni ya Oya.

Awadai fidia kwa mamilioni kama si mabilioni.
Wale wanasheria wa Twitter aka x, wajitolee kumsaidia apate japo chochote. Namuonea huruma maana kila siku jamii itam-label kwamba alikopa mpaka akasababisha kifo cha mumewe😭😭😭, hapo mawifi watamsimanga hatari
 
DUh Mikopo Hii Tazama Huyu Aliekopa kwa mamaye kilichomkuta Bonyeza hapa Instgram Habari & Udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…