Camcorowamodo
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 160
- 150
Nakwambia tena, bro acha kuendekeza chuki za kidini. Hazitokutajirisha wala hazitokufanya ukawa maarufu humu Jamii Forum. Kama unataka umaarufu kalale uchi na mama yako mzazi kisha tupia social media picha zenu lakini chuki za kidini hazitokufanya maarufu.Chuki gani tena kipenzi cha allah? Kwani kampuni sio ya mwislamu? Aliye uawa sio mwislamu? Au unajitoa akili kama allah?
Ndivyo inavyotakiwa , hakuna kuchekeana kwenye kulipa madeniNaskiaga hao OYA ukiwa unadaiwa wanakuja kudai hata saa nane usiku.. Hawakimbiliki
Hao OYA MICROFINANCE na hao walio watuma ni SEPARATE ENTITIES.Hawa nao wake zetu wanashida elfu sitini ndio ya biashara Gani?Hao nao oya wapumbavu,ona Sasa majuto mjukuu!
Uko sahihi according to jinai, kwenye jinai anawajibika yule alietenda jinai,labda kama alitenda jinai chini ya vitisho vya uhai wake nalo lazima ulithibitishe bila utata! Lakini kwenye madai kampuni lazima iwajibike!!Hao OYA MICROFINANCE na hao walio watuma ni SEPARATE ENTITIES.
Ni kama watu wenye kumbukumbu mwandishi wa habari MWANGOSI kupigwa na kilicho semwa bomu la machozi na kufariki dunia JESHI la POLISI kujisafisha lilisema halikumtuma kufanya mauaji the likewise kwenye hii scenario.
SAHIHI mkuu nakubaliana nawe.Uko sahihi according to jinai, kwenye jinai anawajibika yule alietenda jinai,labda kama alitenda jinai chini ya vitisho vya uhai wake nalo lazima ulithibitishe bila utata! Lakini kwenye madai kampuni lazima iwajibike!!
Yakitokea mabaya kila mtu anabeba mzigo wake!Hao OYA MICROFINANCE na hao walio watuma ni SEPARATE ENTITIES.
Ni kama watu wenye kumbukumbu mwandishi wa habari MWANGOSI kupigwa na kilicho semwa bomu la machozi na kufariki dunia JESHI la POLISI kujisafisha lilisema halikumtuma kufanya mauaji the likewise kwenye hii scenario.
All in all, ndio wapige na kuua mteja wao? Hii sio sawaNaskiaga hao OYA ukiwa unadaiwa wanakuja kudai hata saa nane usiku.. Hawakimbiliki
Hilo tatizo tunalo Wabongo wengi sana....Mtu ni mwepesi kukopa Ila kulipa ni matanga..
Na unakuta pesa alienda kumtunza mtu, kucheza mtoto ngoma kigodoro hii yote yanayotokea ni umaskini wa akili (ELIMU)
Serikali Ina rasilimali nyingi Mimi kwa maono yangu naonaga boom ni Kama zawadi ndogo kwa walio fanikiwa kufikia peak ya colonial education which is pyramidal in shapeπHilo tatizo tunalo Wabongo wengi sana....
Tunapenda kukopa ila kulipa hatupendi.
Ukitaka kuona hilo, angalia Vijana waliokopeshwa boom na Serikali wakiwa vyuoni, linapokuja suala la kukatwa kwenye Mishahara yao wanavyolalamika ππ
Baresa akikusikia unakopa sh milioni moja anakushangaa kweli. Kila mtu anakopa kulingana na level yakeHawa nao wake zetu wanashida elfu sitini ndio ya biashara Gani?Hao nao oya wapumbavu,ona Sasa majuto mjukuu!
Hawezi kunishangaa,kwani inatosha Mtaji wa vingi, mbogamboga,matunda, saloon sio60,000.Baresa akikusikia unakopa sh milioni moja anakushangaa kweli. Kila mtu anakopa kulingana na level yake
Baresa akikusikia unakopa sh milioni moja anakushangaa kweli. Kila mtu anakopa kulingana na level yake
Hata huko juu baadhi ya viongozi ni wagumu kulipa madeni yao,sema wao wana nguvu sana ,mdai pamoja na ni Bank lakini bado wanawogopa kuwa filisi! Alifilisiwa mmoja tu na akafa kwa pressure marehemu John Komba!!Hilo tatizo tunalo Wabongo wengi sana....
Tunapenda kukopa ila kulipa hatupendi.
Ukitaka kuona hilo, angalia Vijana waliokopeshwa boom na Serikali wakiwa vyuoni, linapokuja suala la kukatwa kwenye Mishahara yao wanavyolalamika [emoji12][emoji119]
Ni kweli MkuuHata huko juu baadhi ya viongozi ni wagumu kulipa madeni yao,sema wao wana nguvu sana ,mdai pamoja na ni Bank lakini bado wanawogopa kuwa filisi! Alifilisiwa mmoja tu na akafa kwa pressure marehemu John Komba!!
Ni hela nyingi kiasi MkuuSerikali Ina rasilimali nyingi Mimi kwa maono yangu naonaga boom ni Kama zawadi ndogo kwa walio fanikiwa kufikia peak ya colonial education which is pyramidal in shapeπ
Tukitumia vizuri rasilimali nyingi tulizo nazo mbuga,madini, ardhi, mito, gesi asilia, maziwa,bahari, mabonde na misitu yetu mbona ELIMU BUREEEE mpaka chuo kikuu.
na kama hutalipwa apigwe mwenzi wako mpaka ulipe.Dawa ya deni ni kulipa asee
Of course π π wadaiwa ni wengi Mimi na rafiki zangu almost 10years hawana ajira rasmi na wanadaiwa at least 12.5 mNi hela nyingi kiasi Mkuu
Hadi namaliza Chuo Kikuu nilikuwa nadaiwa almost 16.42M
Nilipoingia Kazini, walinikata kata hela yao, ilipofika 7.8M, Kuna sehemu nilipata hela nikaenda kulipa yote
OYA wanakuja hasi saa 7 usiku, na wanaruka ukuta. Walsingham kwa jirani yangu usiku wa manane kwa kuruka gets ni vichaa wasikie tu.unatakiwa