Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

Chuki gani tena kipenzi cha allah? Kwani kampuni sio ya mwislamu? Aliye uawa sio mwislamu? Au unajitoa akili kama allah?
Nakwambia tena, bro acha kuendekeza chuki za kidini. Hazitokutajirisha wala hazitokufanya ukawa maarufu humu Jamii Forum. Kama unataka umaarufu kalale uchi na mama yako mzazi kisha tupia social media picha zenu lakini chuki za kidini hazitokufanya maarufu.
 
Hawa nao wake zetu wanashida elfu sitini ndio ya biashara Gani?Hao nao oya wapumbavu,ona Sasa majuto mjukuu!
Hao OYA MICROFINANCE na hao walio watuma ni SEPARATE ENTITIES.

Ni kama watu wenye kumbukumbu mwandishi wa habari MWANGOSI kupigwa na kilicho semwa bomu la machozi na kufariki dunia JESHI la POLISI kujisafisha lilisema halikumtuma kufanya mauaji the likewise kwenye hii scenario.
 
Uko sahihi according to jinai, kwenye jinai anawajibika yule alietenda jinai,labda kama alitenda jinai chini ya vitisho vya uhai wake nalo lazima ulithibitishe bila utata! Lakini kwenye madai kampuni lazima iwajibike!!
 
Hao OYA MICROFINANCE na hao walio watuma ni SEPARATE ENTITIES.

Ni kama watu wenye kumbukumbu mwandishi wa habari MWANGOSI kupigwa na kilicho semwa bomu la machozi na kufariki dunia JESHI la POLISI kujisafisha lilisema halikumtuma kufanya mauaji the likewise kwenye hii scenario.
Yakitokea mabaya kila mtu anabeba mzigo wake!
 
Mtu ni mwepesi kukopa Ila kulipa ni matanga..
Na unakuta pesa alienda kumtunza mtu, kucheza mtoto ngoma kigodoro hii yote yanayotokea ni umaskini wa akili (ELIMU)
Hilo tatizo tunalo Wabongo wengi sana....

Tunapenda kukopa ila kulipa hatupendi.

Ukitaka kuona hilo, angalia Vijana waliokopeshwa boom na Serikali wakiwa vyuoni, linapokuja suala la kukatwa kwenye Mishahara yao wanavyolalamika 😜🙌
 
Serikali Ina rasilimali nyingi Mimi kwa maono yangu naonaga boom ni Kama zawadi ndogo kwa walio fanikiwa kufikia peak ya colonial education which is pyramidal in shape😁
Tukitumia vizuri rasilimali nyingi tulizo nazo mbuga,madini, ardhi, mito, gesi asilia, maziwa,bahari, mabonde na misitu yetu mbona ELIMU BUREEEE mpaka chuo kikuu.
 
Ukitaka kuona hilo, angalia Vijana waliokopeshwa boom na Serikali wakiwa vyuoni, linapokuja suala la kukatwa kwenye Mishahara yao wanavyolalamika [emoji12][emoji119]
Hata huko juu baadhi ya viongozi ni wagumu kulipa madeni yao,sema wao wana nguvu sana ,mdai pamoja na ni Bank lakini bado wanawogopa kuwa filisi! Alifilisiwa mmoja tu na akafa kwa pressure marehemu John Komba!!
 
Ni kweli Mkuu

Kulipa madeni ni kipaji ambacho Watanzania hatuna 😜
 
Serikali Ina rasilimali nyingi Mimi kwa maono yangu naonaga boom ni Kama zawadi ndogo kwa walio fanikiwa kufikia peak ya colonial education which is pyramidal in shape😁
Tukitumia vizuri rasilimali nyingi tulizo nazo mbuga,madini, ardhi, mito, gesi asilia, maziwa,bahari, mabonde na misitu yetu mbona ELIMU BUREEEE mpaka chuo kikuu.
Ni hela nyingi kiasi Mkuu

Hadi namaliza Chuo Kikuu nilikuwa nadaiwa almost 16.42M

Nilipoingia Kazini, walinikata kata hela yao, ilipofika 7.8M, Kuna sehemu nilipata hela nikaenda kulipa yote
 
Of course 😀 😊 wadaiwa ni wengi Mimi na rafiki zangu almost 10years hawana ajira rasmi na wanadaiwa at least 12.5 m

Sasa ni mapesa mangapi ya serikali yamesimama na yasitarajiwe kurud ? Ni kua zile pesa ni grants or gifts 🎁 kwa wote walio bahatika kufikia ELIMU ya chuo kikuu

Siungi mkono kwa namna yoyote urejeshaji wa huo mkopo kwa namna yeyote Ile sisi Kama taifa tunazo rasilimali za kila aina ku facilitate ELIMU kua bureeee mpaka chuo kikuu
 
Back
Top Bottom