Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

Ukikopa pesa na kupeleka kwenye matumizi sahihi ambayo ni kukuza biashara yako Wala hata huwezi kupata ugumu kwenye kulipa marejesho... Na habari kama hizi za mtu kuuwawa kisa Kashindwa kulipa marejesho utakuwa unaziskia tu kwenye mitandao.

Mawazo kama hayo niliyoya bold hapo ni ya mtu ambaye anakopa pesa kisha anaenda kulewea na kuonga Malaya na Hana mikakati sahihi ya kurudisha pesa hiyo.
 
Wote walikosa ustahilivu, Kila mmoja alitaka kuonekana Mbabe mbele ya mwenzie
 
Unadhani wangeacha kusema kuwa walikuwa wanajihami? Mpaka leo hii hizo habari zingesikika maana asili ya binadamu ni kujitetea, yaani lazima habari zingeenea kuwa walikuwa wanatishiwa wakajihami
Basi Sasa kama ni hivyo binadamu wote yatupaswa tujifunze kuheshimu makubaliano tunayowekeana hususani kwenye haya masula ya madai... Sio tunakubaliana vizuri leo halafu siku ya deni ikifika unaanza kuniletea maelezo marefu..
 
Ukiweka nia, hiyo 2,000 inapatikana Mkuu

Ukiwa Saidia fundi pekee, unalipwa zaidi ya 8,000 Kwa Siku
Mkuu,
Hata ukienda kule kitunda,kivule, chamazi, vikindu na viunga vyake ukaanza vijibustani vyako vya mchicha.
Uwe focused
Mkopo chukua hata TIGO nivushe plus ndani ya mwezi unarejesha "Azania bank"
Mimi binafsi naona fursa nyingi Sana hapa Tanzania yaan ni kunyumbulisha akili yako TU na kuto chagua kazi aibu ,woga,, uvivu ni kuweka kando Kama una degree weka pembeni ingia mtaani kupambana na LIFE.
NB.
Kuna izo point tulijibiaga maswali huko masomoni kunakipindi WAKATI nimemaliza ELIMU ya juu Sina kazi ndipo nikajua application zake kwa vitendo,
Lack of capital, poor transport & communication, Lack of market, Low technology, low energy /power supply ie. Electricity, paste & disease, Lack of man power, Lack of government support.

Yaan unakutana na hizo point practically na automatically zinaku knock off 😅

Umaskini UNAANZIA KICHWANI then unasambaa Kama Cancer kwenye kila eneo la Maisha ya mtu.
 
Una buku ya karibu hapo?😁
🤣🤣😂 Brother angu mmoja aliwai kuniita DOGO DOGO UNA BUKU 5 HAPO MIMI NIKAJIBU SINA AKASEMA.....KAMA HAUNA BUKU5 UNAISHIJE 😅🤣🤣😂😂 SEMA jamaa alikua Kapiga tungi anayumba yumba

Imagine mtu anakuuliza kwa lafudhi ya kilevi 🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…