Ukikopa pesa na kupeleka kwenye matumizi sahihi ambayo ni kukuza biashara yako Wala hata huwezi kupata ugumu kwenye kulipa marejesho... Na habari kama hizi za mtu kuuwawa kisa Kashindwa kulipa marejesho utakuwa unaziskia tu kwenye mitandao.Jambo hili la mikopo ya kifedhuli liliwahi kujadiliwa bungeni na kauli ikamtoka waziri Mwigulu kuwa hawa jamaa ni wahuni na hawana vibali vua kufanya hivyo.
Nani anawapa leseni ya kuendesha kampuni hizo?
Mwisho wa siku, hakuna kampuni inayotoa mikopo ilikunufaisha wakopaji. Wao nawataka wakunyonye usishe ufe uzikwe.
Mawazo kama hayo niliyoya bold hapo ni ya mtu ambaye anakopa pesa kisha anaenda kulewea na kuonga Malaya na Hana mikakati sahihi ya kurudisha pesa hiyo.