Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu.
Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama akaongeza miezi mitatu kubaki kwao ilipo timia miezi 6 ya mtoto ndio akarejea kwa kaka (baba O).
Mama O alipokelewa vizuri na mashamrashamra kama yote ya 40za mapacha. usiku huo hakuomba game (anasema baba O) kwamba alikuwa na furaha ya mapacha, na ha mama O hakuonesha uhitaji wa hilo.
Siku tatu zilipo fika baba O Akamwambia ”nilimiss”😄😄 mama O kwa mshangao akamwambia “ kwani siku zote hizo hujapata wakumtia 😳”
Baba O anasema hakumjibu kitu ilibidi alale ndio akaja kuniuliza sisi wasicha huwa tunamaanisha nini kuitamka hiyo sentensi kwa mumeo? nikiri tu kwamba mimi sijawahi na sijui amemaanisha nini hapo.
Nafikiri nimeandika walau nimesomeka eti huyu mama O amemaanisha nini kwa kauli hiyo?
Karibuni.