Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Wanawake huwa ni wajanja sana wanaposaka ukweli wa Jambo lao, hapo Kaka ako anaingizwa kingi kijanja akubali alichepuka

Akijichanganya tu kukiri kukiri kosa la kuchepuka, hakuna rangi ataacha kuona kwenye iyo ndoa yake[emoji4].
 
Wanawake huwa Ni wajanja sana wanaposaka ukweli wa Jambo lao, hapo Kaka ako anaongizwa kingi akubali alichepuka

Akijichanganya tu kukiri kukiri kosa la kuchepuka, hakuna rangi ataacha kuona kwenye ndoa yake[emoji4].
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😪😄😄ajibuje
 
mwenzio kaduwaa ata ivo he is my bro!

angepeleka kwa washkaji wenzie unataka wamuwahishie majukumu[emoji1]
Hapo wifi yako anakuona wewe ndio mzembe, yaani kaka yako anakaa muda wote huo na njaa halafu wewe umeshindwa kumtafutia hata shosti yako mmoja wa kumtomber?
Undugu ni kufaana sio kufanana.
 
Hapo wifi yako anakuona wewe ndio mzembe, yaani kaka yako anakaa muda wote huo na njaa halafu wewe umeshindwa kumtafutia hata shosti yako mmoja wa kumtomber?
Undugu ni kufaana sio kufanana.
bosi unaijua kesi ya wapenzi? wakipatana unapoteza vyote hadi jina la ukoo😄
 
Tunajua ni ngumu mwanaume kuvumilia zaidi ya wiki mbili, kaka yako kawezaje miezi 6? Lazima tuhoji
soma vizuri

hakumjibu ila aliduwaa

ndani ya kutokumjibu kuna mawili

alichepuka au
hakuchepuka.
 
Kuna mada ambazo serious zinaaibisha mwanaume kuzileta kuna mambo mengine unatakiwa uone angalau hata aibu mwanaume uyamalize mwenyewe kama yule anayelalamika mke wake hamjali kwenye msiba ukweni

Halafu hao wanawake wa kuwajibu shit mnatoa wapi ningekuwa mimi bonge moja la tusi au bao lingemshukia

mfumo dume unasaidia sana
 
bosi unaijua kesi ya wapenzi? wakipatana unapoteza vyote hadi jina la ukoo[emoji1]
Huna lolote umekosa huruma tu kwa kaka yako, yaani miezi 6 kweli?
Inaamana huna rafiki yako yoyote mwenye chura ukawa unampitisha pitisha mbele ya kaka yako?
 
Nilidhani amemind
hapana
ila ana maswali mengi kichwani ndani ya swali moja aliloulizwa.

huenda alijiongezea miezi mingine kwao kumbe alichepuka akiwa kwao?

anahalalisha uchepukaji ili akimkamata aone kitu cha kawaida?

anahisi kaolewa na malaya?

akampime afya kabla ya tendo?

au bado anahasirahasira zake za mimba?
 
Kuna mada ambazo serious zinaaibisha mwanaume kuzileta kuna mambo mengine unatakiwa uone angalau hata aibu mwanaume uyamalize mwenyewe kama yule anayelalamika mke wake hamjali kwenye msiba ukweni

Halafu hao wanawake wa kuwajibu shit mnatoa wapi ningekuwa mimi bonge moja la tusi au bao lingemshukia

mfumo dume unasaidia sana
mkuu makofi hayo utazeeka nayo huku huna mke.
 
hapana
ila ana maswali mengi kichwani ndani ya swali moja aliloulizwa.

huenda alijiongezea miezi mingine kwao kumbe alichepuka akiwa kwao?

anahalalisha uchepukaji ili nikimkamata aone kitu cha kawaida?

anahisi kaolewa na malaya?

akampime afya kabla ya tendo?

au bado anahasirahasira zake za mimba?
Mmh kaenda mbali sana. Ni wivu tu wa mke sidhani kama kuna zaidi
 
Huna lolote umekosa huruma tu kwa kaka yako, yaani miezi 6 kweli?
Inaamana huna rafiki yako yoyote mwenye chura ukawa unampitisha pitisha mbele ya kaka yako?
ni kaka siwezi kumtaftia machinjio
 
Hayo yote amekusimulia kaka yako...!????

Kwamba wifi yako anasema kaka yako hajapata wa kumitia borlo...

Wakuu tukiacha chai,,, hii tuipe jina gani lingine?
 
Back
Top Bottom