Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Mwambie bado hajawajua wanawake.

Anasusa Susa Kama boys.
Anashindwa kujieleza, kumsifia mke wake mpaka alale Kama Paka shine.

Pumbavu
 
😄😄😄 jf mna majibu sugu,,

haya nimeshamfikishia majibu yenu kama hivoo.

nimemwambia kwani ye hajachepuka

anasema alichepuka ila mke ni mke

nikamwambia ulimpa jibu gani kati ya niliyokwambia?
alimwambia kimasihara kama alivomuuliza,,,

“ulinipa msaidizi wako huyo?” (baba O alisema)

mama O alipanic sana ndio ukawa mwisho wa swali. 😄😄😄
 
😀😀😀😀
 
Nina wasiwasi wewe utakuwa mchepuko wa Baba O..wanaume wenzangu watanielewa hapa.
 
Back
Top Bottom