MamaO kumuuliza vile anajua fika mume atajiongeza sasa Mume aliogopa hii ni dalili kubwa kwamba akifumaniwa atasamehewasasa akithubutu huoni atakuwa kahalalisha uchepkaji na mkewe asimlaumu akifanya
๐๐๐ jf mna majibu sugu,,Mwambie bado hajawajua wanawake.
Anasusa Susa Kama boys.
Anashindwa kujieleza, kumsifia mke wake mpaka alale Kama Paka shine.
Pumbavu
๐๐๐ jf mna majibu sugu,,
haya nimeshamfikishia majibu yenu kama hivoo.
nimemwambia kwani ye hajachepuka
anasema alichepuka ila mke ni mke
nikamwambia ulimpa jibu gani kati ya niliyokwambia๏ผ
alimwambia kimasihara kama alivomuuliza,,,
โulinipa msaidizi wako huyo?โ (baba O alisema)
mama O alipanic sana ndio ukawa mwisho wa swali. ๐๐๐