Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

Yaani mme amefariki mwaka huu, na shemegi yenu ameshaoa. Duh! Mulika mwizi!

Na anataka kuuza nyumba
Mkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,

•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume

• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
 
Mlikubali aishi kama hawara na mkamwachia nyumba yote mwanamke kwa mapenzi yenu
Na sasa kapata buzi lingine mwacheni hata akiiuza sio yenu tena
 
Mimi nijuavyo, mtu akiishi na mke mume ndani ya nyumba moja kwa kipindi kisichopungua miaka miwili; huku wakitambulika na majirani pengine na hata serikali ya mtaa kuwa mnaishi pamoja hiyo tayari ni Ndoa kwa majibu wa sheria ya ndoa ya TZ.

Kwa maana hiyo hiyo, nyumba ambayo watu wameishi pamoja kwa hicho kipindi kisichopungua miaka miwili, hugeuka umiliki na kujulikana kuwa ni ya kwao (50/50) mke na mume. Ninacho taka kusema, wenye haki kwenye hiyo miradhi ni Mke na mtoto....

Nijuavyo ni kama mama atapata mweza na kuamua kuolewa, nyumba hubaki chini ya umilikaji wa mtoto chini ya uangalizi wa mama wa mtoto; hadi mtoto atapokua..
Inategemea na familia au koo, kwetu unaulizwa unataka kuolewa tena au kuwa mjane? Akisema kuolewa tena anapewa kata, anasepa zake kwao, akisema anakua mjane basi anabaki, ila kukazwa atakazwa huko nje mafichoni, sio kuleta ndani ya nyumba au kuhalalisha kuolewa tena.
 
Huyo mwanamke aambiwe nyumba ni ya mtoto, hivyo yeye km anataka kuwa na mwenza atoke hapo akaanzishe familia nyingine na huyo mwenza wake mpya
Husikute hata mtoto siyo wa mwenda zake,ni wa huyo jamaa mpya ndani ya mjengo
Husikute mwenda zake alipigwa chuma ili apishe watu waishi walee mtoto wao....🤔🤔🤔
 
Mkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,

•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume

• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
Unapigaje tena hapa? 😂😂😂😂
 
Mkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,

•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume

• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
Umewaza mbali sana mkuu
 
Husikute hata mtoto siyo wa mwenda zake,ni wa huyo jamaa mpya ndani ya mjengo
Husikute mwenda zake alipigwa chuma ili apishe watu waishi walee mtoto wao....🤔🤔🤔
Familia ya marehemu iweke wazi kuwa nyumba ni ya mtoto, mtaamua msimamizi awe nani, ndugu wa baba au yeye mwenyewe mama, na ikiwa yeye Mama muambieni wazi uangalizi uko chini ya familia ya marehemu mumewe, km anataka kuolewa tena basi atoke hapo akaanzishe maisha mapya na huyo mwenza wake wa sasa,

Mkifanya masikhara mtashtuka nyumba imeuzwa, pesa imeliwa na kiben10, baadae mnaletewa mtoto mumtunze, wakati kaachiwa urithi huo na baba yake.
 
Huko maporini bro
Huo msemo huwa wa kishenzi shenzi tu hata huwa siukubali.

Sasa nalipwa kwa mwezi na ni guaranteed napata laki na nusu yangu sasa hiyo hela unayoniambia niitafute ni ipi na iko wapi

Tupeleke basi mlikoficha hizo hela
 
Umewaza mbali sana mkuu
Ndo ukwel wa maisha ulivyo kiongozi,
Kwanza utapata wapi ujasiri wa kumleta mwanaume mwingine ndani ya mjengo wa marehemu mmeo kwa kisingizio cha kukuoa...?

Hiyo ilikuwa ya mission yao, jamaa apigwe udongo,wao wabaki huru.
 
Huo msemo huwa wa kishenzi shenzi tu hata huwa siukubali.

Sasa nalipwa kwa mwezi na ni guaranteed napata laki na nusu yangu sasa hiyo hela unayoniambia niitafute ni ipi na iko wapi

Tupeleke basi mlikoficha hizo hela
Sio lazma kila kitu kiwe cha maana kwako bro, relax
 
Hapo kwa,mukhtadha wa kulinda maslahi ya mtoto ili asije kudhulumiwa urithi wa baba yake mzazi na huyo baba wa kambo endapo mama yake akifariki inabidi atafutwe mwanasheria aliweke sawa hili suala manake hatuwezi jua nia ya huyo mwanaume mpya
 
Familia ya marehemu iweke wazi kuwa nyumba ni ya mtoto, mtaamua msimamizi awe nani, ndugu wa baba au yeye mwenyewe mama, na ikiwa yeye Mama muambieni wazi uangalizi uko chini ya familia ya marehemu mumewe, km anataka kuolewa tena basi atoke hapo akaanzishe maisha mapya na huyo mwenza wake wa sasa,

Mkifanya masikhara mtashtuka nyumba imeuzwa, pesa imeliwa na kiben10, baadae mnaletewa mtoto mumtunze, wakati kaachiwa urithi huo na baba yake.
Kwa hiyo situation....
Kama familia ya mwenda zake inajiweza...wafanye DNA test.
Husije unaandika urithi kwa damu ambayo siyo yako.
 
Tukisema mwanamke kamuua Mume? Ila abakia na Nyumba aolewe na Aliyemzalisha mtoto huyo, atasemaje?.


Sawa anaruhusiwa kutombwa, Kwann asihamie kwa anayemtomba ,na Nyumba ikabaki kwaajili ya mtoto tu?.



Fukuzia mbali huyo Malaya, haiwezekan Mwaka mmoja tu wa KIFO ,Tayari keshaleta Mwanaume ndan.
 
Kwa hiyo situation....
Kama familia ya mwenda zake inajiweza...wafanye DNA test.
Husije unaandika urithi kwa damu ambayo siyo yako.
Km wanajiweza wafanye hivyo, km hawawezi basi wafuate huu ushauri wangu..
Ila huyo mwanamke kiboko, Feb mwaka huu mumewe kafariki, yeye sahivi yuko bwana mpya wazi wazu hadi kuhamia nyumbani hapo?

Mmh hawa wameanza mahusiano zamani sana, sahivi wanakula pension ya mission yao. Duuuh.

Nyie Situkeni mnapigwa hapo, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom