Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

Tukisema mwanamke kamuua Mume? Ila abakia na Nyumba aolewe na Aliyemzalisha mtoto huyo, atasemaje?.


Sawa anaruhusiwa kutombwa, Kwann asihamie kwa anayemtomba ,na Nyumba ikabaki kwaajili ya mtoto tu?.



Fukuzia mbali huyo Malaya, haiwezekan Mwaka mmoja tu wa KIFO ,Tayari keshaleta Mwanaume ndan.
Sio mwaka ni miezi 8 tu. Jamani inashangaza kwa kweli.
Duuuh.
 
Mwanamke ndie ahamie kwa huyo mme sijui mpya au ni wqzamani alikuwepo akangoja upepo utulie ahamie kwenye "nyumba yake"ila binadam ni kipengele sana
Bila shaka huyo mwanamke alienda kumpokea jihan
 
Nyumba ni ya mke na mume, mwanamke kafiwa na mwanzo wake familia inahusika vipi tena? Na akifiwa mlitaka maisha yake yasimame aomboleze hadi na yeye afe? Acheni umaskini wandugu mwacheni mmama alee wanie na afate furaha yake mpya! Ingekuwa yeye ndiye aliyekufa huyo kaka yenu asingeleta mwanamke hapo?
 
Naona hili jambo watu wengi wanalijadili kitoto sana na kwa mihemko bila kuangalia details za msingi na kumbuka hapo kuna mtoto ambaye ana haki kwenye hiyo nyumba!!

Kwanza ningependa kujua kuwa hiyo nyumba huyo mwanamke alimkuta nayo huyo ndugu yenu au walijenga wote!?

Kuoa au kutomuoa hakuondoi haki ya huyo mwanamke kwenye muktadha wa zana ya ndoa kwani kama alimkuta amepanga na akamsogeza wakaishi mpaka wakapata kibanda basi na yeye ana mchango wake kwenye hiyo kwa namna moja au nyingine!!

Nadhani hofu kuu ya ndugu kwa nionavyo mimi ni haki ya mtoto juu ya mali ya marehemu baba yake ikiwa kutatokea hali ya sintofahamu maana sote tunajua wanawake wakizama penzini wanavyokuwa!!

Jamaa kwa kuwa anajua kuwa hapo hana haki hivyo akasuka mpango ovu kwa ajili ya kudhurumu za hao warithi!!!

Mimi nawashauri nendeni kwa wana sheria
 
Watoto wapo? Ni wakubwa?
Kama watoto wapo, mna haki ya kumwambia au kumtaka huyo mume wake akampangie, au kumjengea sehemu nyingine.
Hivi Huwa hamsomi mada vizuri? Hayo maswali usingeuliza.
 
Dunia imekaa kimfuko kumtesa mwanaume


Watu mnasema inabidi mwanamke ahamie Kwa mwanaume. Kwani ikitokea mwanaume na yeye kafiwa inakuaje ni halali Kwa yeye kuleta mke mwingine ndani ya nyumba na kuzaa watoto wengine.


Ila ni shida Kwa mwanamke kuleta mwanaume mwingine ndani ya nyumba anapofiwa?


Kwanini maswali ya kuua mwenza Huwa yanatokea pale mwanamke anapofiwa na akaleta mwanaume mwingine na sio mwanaume anapofiwa na mke na kuvuta mwanamke mwingine?!!!!
 
Tungekuwa tunajua Jamaa atatuliq na Shemeji na kulea mtoto sio shida, ila Matapeli hao wameona mwepesi, kesho na kesho kutwa anakopea Nyumba asiyo na uchungu nayo, mwishowe mnaachiwazigo la mtoto, tafuteni fitina yeyote wote watoke mtunze Nyumba ya mtoto Baba Yale aliyomwachia
 
Ila haya mambo ni very complicated,hawatakiwi kuhoji kwakuwa kuna mtoto pale ni kiungo,ingawa inauma flani hivi,yani lijamaa tu lingine linakaa humo ndani na kujiachia litakavyo...
 
Kwani hakumteua msimamizi wa mirathi? Hili jambo ni la kisheria zaidi kuliko hisia.
 
Naona hili jambo watu wengi wanalijadili kitoto sana na kwa mihemko bila kuangalia details za msingi na kumbuka hapo kuna mtoto ambaye ana haki kwenye hiyo nyumba!!

Kwanza ningependa kujua kuwa hiyo nyumba huyo mwanamke alimkuta nayo huyo ndugu yenu au walijenga wote!?

Kuoa au kutomuoa hakuondoi haki ya huyo mwanamke kwenye muktadha wa zana ya ndoa kwani kama alimkuta amepanga na akamsogeza wakaishi mpaka wakapata kibanda basi na yeye ana mchango wake kwenye hiyo kwa namna moja au nyingine!!

Nadhani hofu kuu ya ndugu kwa nionavyo mimi ni haki ya mtoto juu ya mali ya marehemu baba yake ikiwa kutatokea hali ya sintofahamu maana sote tunajua wanawake wakizama penzini wanavyokuwa!!

Jamaa kwa kuwa anajua kuwa hapo hana haki hivyo akasuka mpango ovu kwa ajili ya kudhurumu za hao warithi!!!

Mimi nawashauri nendeni kwa wana sheria
MUHIMU!
Ukijenga nyumba yako , halafu uka amua kuoa mke na mkaishi kwenye hiyo nyumba kipindi kisichopungua miaka miwili mkiwa wanandoa. Hiyo nyumba hugeuka umiliki na kuwa ya kwenu wawili (50/50) kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya TZ
ukitaka mke asihusike kwenye nyumba yako uliyojenga mwenyewe, hakikisha hamuishi kwenye hiyo nyumba ......kapangisheni au Jengeni nyingine ya pamoja....
 
Mke kwanza hakuolewa inakuaje analeta mwanaume mwengine yni Bora hata angeenda kuwaomba family ya marehemu kaka yao kwamba anatamani kuolewa na mtoto anataka kukaa nae hapo hapo.kidogo wangemfikiria Yani kaleta mwanaume mwengine😅😅😅 ashapanda mabega sasa
 
Tungekuwa tunajua Jamaa atatuliq na Shemeji na kulea mtoto sio shida, ila Matapeli hao wameona mwepesi, kesho na kesho kutwa anakopea Nyumba asiyo na uchungu nayo, mwishowe mnaachiwazigo la mtoto, tafuteni fitina yeyote wote watoke mtunze Nyumba ya mtoto Baba Yale aliyomwachia

Inategemeana na hati ya nyumba anayo nani unadhani mkopo wa nyumba ni WA maneno y
 
Back
Top Bottom