Mkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,
•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume
• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
Huyo mwanamke aambiwe nyumba ni ya mtoto, hivyo yeye km anataka kuwa na mwenza atoke hapo akaanzishe familia nyingine na huyo mwenza wake mpyaWana mtoto mmoja
Huko maporini broHela zinatafutwa wapi?
Embu tuambia
Inategemea na familia au koo, kwetu unaulizwa unataka kuolewa tena au kuwa mjane? Akisema kuolewa tena anapewa kata, anasepa zake kwao, akisema anakua mjane basi anabaki, ila kukazwa atakazwa huko nje mafichoni, sio kuleta ndani ya nyumba au kuhalalisha kuolewa tena.Mimi nijuavyo, mtu akiishi na mke mume ndani ya nyumba moja kwa kipindi kisichopungua miaka miwili; huku wakitambulika na majirani pengine na hata serikali ya mtaa kuwa mnaishi pamoja hiyo tayari ni Ndoa kwa majibu wa sheria ya ndoa ya TZ.
Kwa maana hiyo hiyo, nyumba ambayo watu wameishi pamoja kwa hicho kipindi kisichopungua miaka miwili, hugeuka umiliki na kujulikana kuwa ni ya kwao (50/50) mke na mume. Ninacho taka kusema, wenye haki kwenye hiyo miradhi ni Mke na mtoto....
Nijuavyo ni kama mama atapata mweza na kuamua kuolewa, nyumba hubaki chini ya umilikaji wa mtoto chini ya uangalizi wa mama wa mtoto; hadi mtoto atapokua..
Husikute hata mtoto siyo wa mwenda zake,ni wa huyo jamaa mpya ndani ya mjengoHuyo mwanamke aambiwe nyumba ni ya mtoto, hivyo yeye km anataka kuwa na mwenza atoke hapo akaanzishe familia nyingine na huyo mwenza wake mpya
Unapigaje tena hapa? 😂😂😂😂Mkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,
•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume
• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
Umewaza mbali sana mkuuMkizidi kufatilia sana,
• mtoto siyo wa ndugu yako,
•mwanamke alihusika kwenye kifo cha ndugu yako ili aolewe na huyo mwanaume
• huyo jamaa ndiye baba mtoto,
Nae alikuwa kwenye mchongo wa kumuua ndugu yako.
Ukidadisi sana unapata ukweli ....Unapigaje tena hapa? 😂😂😂😂
Familia ya marehemu iweke wazi kuwa nyumba ni ya mtoto, mtaamua msimamizi awe nani, ndugu wa baba au yeye mwenyewe mama, na ikiwa yeye Mama muambieni wazi uangalizi uko chini ya familia ya marehemu mumewe, km anataka kuolewa tena basi atoke hapo akaanzishe maisha mapya na huyo mwenza wake wa sasa,Husikute hata mtoto siyo wa mwenda zake,ni wa huyo jamaa mpya ndani ya mjengo
Husikute mwenda zake alipigwa chuma ili apishe watu waishi walee mtoto wao....🤔🤔🤔
Kwa kweli. 😂😂😂Ukidadisi sana unapata ukweli ....
Huo msemo huwa wa kishenzi shenzi tu hata huwa siukubali.Huko maporini bro
Ndo ukwel wa maisha ulivyo kiongozi,Umewaza mbali sana mkuu
Sio lazma kila kitu kiwe cha maana kwako bro, relaxHuo msemo huwa wa kishenzi shenzi tu hata huwa siukubali.
Sasa nalipwa kwa mwezi na ni guaranteed napata laki na nusu yangu sasa hiyo hela unayoniambia niitafute ni ipi na iko wapi
Tupeleke basi mlikoficha hizo hela
Kwa hiyo situation....Familia ya marehemu iweke wazi kuwa nyumba ni ya mtoto, mtaamua msimamizi awe nani, ndugu wa baba au yeye mwenyewe mama, na ikiwa yeye Mama muambieni wazi uangalizi uko chini ya familia ya marehemu mumewe, km anataka kuolewa tena basi atoke hapo akaanzishe maisha mapya na huyo mwenza wake wa sasa,
Mkifanya masikhara mtashtuka nyumba imeuzwa, pesa imeliwa na kiben10, baadae mnaletewa mtoto mumtunze, wakati kaachiwa urithi huo na baba yake.
Km wanajiweza wafanye hivyo, km hawawezi basi wafuate huu ushauri wangu..Kwa hiyo situation....
Kama familia ya mwenda zake inajiweza...wafanye DNA test.
Husije unaandika urithi kwa damu ambayo siyo yako.