Sio mwaka ni miezi 8 tu. Jamani inashangaza kwa kweli.Tukisema mwanamke kamuua Mume? Ila abakia na Nyumba aolewe na Aliyemzalisha mtoto huyo, atasemaje?.
Sawa anaruhusiwa kutombwa, Kwann asihamie kwa anayemtomba ,na Nyumba ikabaki kwaajili ya mtoto tu?.
Fukuzia mbali huyo Malaya, haiwezekan Mwaka mmoja tu wa KIFO ,Tayari keshaleta Mwanaume ndan.
Ukute nyumba yenyewe inayozungumziwa haina hata milango.....ingekuwa na tuswiming pool saa hizi wangekuwa wanapishana kwa waganga.Kwahiyo walitaka asifanywe, si watafute zao..... hiyo nyumba ni yao?
Mimi ningekua kwenye familia ningeendelea kutafuta hela.
Ukute nyumba yenyewe inayozungumziwa haina hata milango.....ingekuwa na tuswiming pool saa hizi wangekuwa wanapishana kwa waganga.
Hivi Huwa hamsomi mada vizuri? Hayo maswali usingeuliza.Watoto wapo? Ni wakubwa?
Kama watoto wapo, mna haki ya kumwambia au kumtaka huyo mume wake akampangie, au kumjengea sehemu nyingine.
Km hawakufunga ndoa rasmi, maana yake huyo sio Mke, vipi wana watoto? Mirathi inasemaje?
Subiri wajuzi wanakuja hapa.
Itakua.Reasons iko wazi kabisa but nadhani kuna mengi hajasema
Kuna mtu kaoa miezi mitatu tu baada ya kufiwa na mkewe .....hapa tusemeje?Sio mwaka ni miezi 8 tu. Jamani inashangaza kwa kweli.
Duuuh.
Hii nayo haikubaliki hata.Kuna mtu kaoa miezi mitatu tu baada ya kufiwa na mkewe .....hapa tusemeje?
MUHIMU!Naona hili jambo watu wengi wanalijadili kitoto sana na kwa mihemko bila kuangalia details za msingi na kumbuka hapo kuna mtoto ambaye ana haki kwenye hiyo nyumba!!
Kwanza ningependa kujua kuwa hiyo nyumba huyo mwanamke alimkuta nayo huyo ndugu yenu au walijenga wote!?
Kuoa au kutomuoa hakuondoi haki ya huyo mwanamke kwenye muktadha wa zana ya ndoa kwani kama alimkuta amepanga na akamsogeza wakaishi mpaka wakapata kibanda basi na yeye ana mchango wake kwenye hiyo kwa namna moja au nyingine!!
Nadhani hofu kuu ya ndugu kwa nionavyo mimi ni haki ya mtoto juu ya mali ya marehemu baba yake ikiwa kutatokea hali ya sintofahamu maana sote tunajua wanawake wakizama penzini wanavyokuwa!!
Jamaa kwa kuwa anajua kuwa hapo hana haki hivyo akasuka mpango ovu kwa ajili ya kudhurumu za hao warithi!!!
Mimi nawashauri nendeni kwa wana sheria
Tungekuwa tunajua Jamaa atatuliq na Shemeji na kulea mtoto sio shida, ila Matapeli hao wameona mwepesi, kesho na kesho kutwa anakopea Nyumba asiyo na uchungu nayo, mwishowe mnaachiwazigo la mtoto, tafuteni fitina yeyote wote watoke mtunze Nyumba ya mtoto Baba Yale aliyomwachia