Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

Ila haya mambo ni very complicated,hawatakiwi kuhoji kwakuwa kuna mtoto pale ni kiungo,ingawa inauma flani hivi,yani lijamaa tu lingine linakaa humo ndani na kujiachia litakavyo...

Ttzo linakuja mwanamke sio wa ndoa kwahyo hata huyo mtoto hana haki ya kurithi hyo nyumba ni vile ubinadamu tu

Lkn iweje yeye alete mwanaume mwengine ilhali yeye mwenyewe hana haki ya nyumba manake yeye sio mke
 
Inategemeana na hati ya nyumba anayo nani unadhani mkopo wa nyumba ni WA maneno y

Unayo wewe? Wewe ni fala kweli, nani kakwambia ina hati? Mtu Mumewe kafa, hiyo hata ulichukua kwa mumewe wewe? Tanzania ni ujanja ujanja tu, unaweza uzwa hata wewe ukiwa kwako!
 
Unayo wewe? Wewe ni fala kweli, nani kakwambia ina hati? Mtu Mumewe kafa, hiyo hata ulichukua kwa mumewe wewe? Tanzania ni ujanja ujanja tu, unaweza uzwa hata wewe ukiwa kwako!

Toa hoja usitukane hapa kila mtu anatoa hoja yake mbona mm sjatukana
 
Kiustaarabu, huyo mwanamme na mwanamke wanatakiwa wapange ili maisha mengine yaendelee.
 
 
Ndo ukwel wa maisha ulivyo kiongozi,
Kwanza utapata wapi ujasiri wa kumleta mwanaume mwingine ndani ya mjengo wa marehemu mmeo kwa kisingizio cha kukuoa...?

Hiyo ilikuwa ya mission yao, jamaa apigwe udongo,wao wabaki huru.
Mkuu jambo kama hilo Niliwahi kuliona Zanzibar, Nilipanga Chumba kwenye Nyumba ambayo Mama mwenye Nyumba alikua kaachika na watoto watatu ila Babs mwenyewe Nyumba akahama kwenye Nyumba akamwachia Mwamke Nyumba aishi na watoto lakini nilikua namuona huyo Baba akija kuwatembelea watoto wake watatu na akawa ana lala kwenye chumba tofauti na Mke wake wa zamani, Sasa cha Ajabu huyo Mama akaolewa tena na akawa anaishi na Mume wake kwenye hiyo Nyumba sema aliolewa mke wapili kwahiyo huyo Mumewe alikua anakuja siku moja moja kulala na akabahatika kuzaa tena mtoto mmoja na huyu Mume wewe. Sasa kuna nilimsikia anasema hii Nyumba nikifa warithii ni watoto wangu watatu ambao kazaa nao na mume aliyempa talaka kwahiyo huyu mtoto aliyezaa na Mume wa sasa hana Urithi. Kumbe huyo Mama ana watoto sita watoto wa tatu Baba yao ndiyo mwenye Nyumba wanayoishi. Kwahiyo Wanawake wanajua kabisa kila mtoto ana rithi kwa Baba yake Mzazi aliye mzaa. Ndiyo Maana kule Zanzibar utakuta Wapo watoto 8 wanakua na Mama mmoja ila kila mtoto Baba tofauti na utakuta wanaishi kwenye Nyumba ya Baba wa mtoto mmoja.
 
Mdau anauliza je huyo Mwanamke akifariki je mirathi itakuaje? Na kama kashazaa tena na huyo Mwanaume mpya
 
Naomba nikusahihishe ndugu yangu!!

Kwenda kuishi na mwanamke kwenye nyumba ambayo amekukuta hakumfanyi mwanamke kuwa na sehemu ya haki katika umiliki wa nyumba hiyo la hasha kwani mahakama itamtaka mwanamke aelezee kuwa amehusika vipi katika kupatikana kwa mali hiyo!!

Jambo la pili ni kwamba kuishi na mwanamke na kumuoa ni jambo la kwanza na umiliki wa mali ni jambo la pili hayo mambo hayafungamani isipokuwa mmoja wenu ameamua kumpa au kumshirikisha mwenza wake kwa ridhaa yake mwenyewe..... kinyume na hapo huyo mke au mume hana haki kwenye mali aliyoikuta ya mwenza wake!!

Ndoa tu pekee haimfanyi mwanamke kuwa sehemu ya umiliki wa mali bali mchango wake!!

Niko tayari kusahihishwa....
 
Kwahiyo kwasasa huyo Mwanaume akiishi na huyo Mwanamke kwenye Nyumba kwa zaidi ya miaka 3 huyo Mwanaume Na yeye anakua Mwenye Nyumba?
 
Ungeongeaga vizuri na shemeji haya yasingetokea,, ungekaa naye wewe hapo. Sasa sahv tulia tu shemeji naye ni binadamu ana mahitaji yake na hataki kuhama hapo maana inaonekana atakuwa ndo ameshaikosa iyo nyumba
 
Km hawakufunga ndoa rasmi, maana yake huyo sio Mke, vipi wana watoto? Mirathi inasemaje?

Subiri wajuzi wanakuja hapa.
Ee mkisha ishi na mwanaume zaidi ya miez 12 mnagegedana ndani ya paa moja, nyie ni wanandoa hata kama hamna watoto. hata kama hamjafunga ndoa kuna sheria inatambua hii kitu mahakamani na mali mlizochuma pamoja ni zenu
 
Ee mkisha ishi na mwanaume zaidi ya miez 12 mnagegedana ndani ya paa moja, nyie ni wanandoa hata kama hamna watoto. hata kama hamjafunga ndoa kuna sheria inatambua hii kitu mahakamani na mali mlizochuma pamoja ni zenu
Kumbe??
 
ndio; serikali inatambua ndoa za kimila na hii inakaa katika kundi hili. Cha msingi uwe unampa uroda na mnalala kama mke na me. Kumbuka ndoa za kimila hazina cheti cha ndoa za msajili wa ndoa, hivyo inajulikana hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…