Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka kumlazia damu kwasababu hapo awali sikua na mazoea na mpangaji yeye hapa nilipopanga zaidi ya salamu tu basi nakamuuliza kwanini unamsema hizo mke wangu na mimi mwenyewe kama naringa kwa nimekufanyia nini kibaya au mke wangu kakafanyaje shemeji?
Jibu lake eti kwani unionagi mbona unanizarau sana. Nami nikamjibu nakuzarau kivipi yani mbona sielewi? Akasema yani wewe kila sku unasema mambo tu umemaliza utaki kunijulia hata hali tupige stori mbili tatu!
Nikasema hapana shemeji wewe mke wa mtu nam sipendag matatizo na wake za watu nae akajibu hapana bwana shemu tuwe tu marafiki nikasema sawa basi kipindi naondoka akasema shemeji chukua namba zangu basi nikachukua nikasepa.
Picha linaanza muda huu nacheki tamthilia ya unfaithful AZAM TV huku nikiwa nmefungulia sauti ya juu kwenye subwoofer kanitumia meseji eti shemeji natamani kuja kuangalia namimi sema mama umut tu ndo kikwazo.
Nam nikamjibu njoo kesho saa 3 mama Umut akienda kusuka yeboyebo kwa dadaake kasema sawa.
Ushauri: Je, huyu anataka nn kwangu, na je nmchakate au nimkaushie tu asije nipa gono?