Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

Dogo,unaweza kulipa bill akitaka kukupiga mzinga? huko chuoni unalipa au unalipiwa? haya mambo waachie wenye salary na sio wewe mwenye boom
 
Mm swez honga mke wa mtu sababu ya kwanza sjamtaka na yy ndo kataka kuchakatwa kwann nimlipe? Pili ni ujinga wa kiwango cha lami kuhonga mwanamke ambaye analala mwanaume mwngne usku na unajua hlo
 
Back
Top Bottom