Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

Sasa hapa unataka usaidiweje kwa Mfano!? ......Unaomba ushauri wa kumchakata mke wa mtu!...na wewe ni mme wa mtu! Una mke Hapo Hapo...

Kama ni mimi.....nikigundua unanimegea....wala sihangaiki na wewe...!

Namfata mkeo tu na kumweleza kwa herufi kubwa!...lazima aelewe tu!.... Unakuwa umenilainishia njia ya mm kumchakata mkeo!...

Kitu usichopenda kufanyiwa wewe...usimfanyie mwenzio!
 
Nataka akija geto nmchane ukweli hapa nje watanihis vbaya maana snaga mazoea na mtu yeyote
 
Piga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…