Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
 
Mke wa mtu si sumu mke wa mtu ni chakula Cha waluguru
 
Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
Mume inabd atulie tuu anasaidiwa majukumuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] !! Na kwa nini wanaume mnapenda kutunziwa familia zenuu?? Umeoa, na una watoto!! Hutoi pesa za matumizi unategemea mini?
 
Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
We kula usihoji sana
 
Mwanamke ukitaka kuivuruga baraka,amani, uwepo wa Mungu, heshima, haiba, uzuri, ustaarab wa familia tembea nje ya ndoa.

Ukiolewa jua ni mwisho wa kutumia kisicho cha mumeo
 
Hivi kumbe mwanamke nae anaweza kuwa Danga?? Sikujuanga...nikajua Danga ni mtoaji wa hela
 
Back
Top Bottom