Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa mtu si sumu mke wa mtu ni chakula Cha waluguruNisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
Mume inabd atulie tuu anasaidiwa majukumuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] !! Na kwa nini wanaume mnapenda kutunziwa familia zenuu?? Umeoa, na una watoto!! Hutoi pesa za matumizi unategemea mini?Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
We kula usihoji sanaNisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
🤣🤣🤣🤣🤣Huwa tunaziombea KISILANI kinaondoka
Hamna hela haramu
Kuna watu watakwambia kwani kinabanduka? Kinaoshwa na kinatumika tenaMwanamke ukitaka kuivuruga baraka,amani, uwepo wa Mungu, heshima, haiba, uzuri, ustaarab wa familia tembea nje ya ndoa.
Ukiolewa jua ni mwisho wa kutumia kisicho cha mumeo