Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mwambie asubiri mume wake afariki, then umuoe wewe ule kirahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Si ndo hapo utadhani kashikiwa kisu kula kilazima.......huyo mwanamke ni malaya tu na nyege zaje zinamsumbua.....na huyo jamaa nae ni mpuuzi anajua kabisa mke wa mtu halafu bado analeta udwanzi apa......Achana nae mwambie kama ndoa yake inmsunbua aondoke kwao atapata mwanaume mwingine anaeteseka anachukua hatua anataka kuchepuka Kwa kisingizio Cha mumewake
Bas umeeleweka tushajua kazi yakoYan mkuu mm niogope kutembea na mke wa mtu kisa nakwepesha makalio yangu? Na yalivyokomaa hivi? Unajua mm nafanya kazi gan mkuu? Ushawahi kuona unyayo wa mpiga debe?
Cc. Lamomy
HOPE UKO MORO MKUU SIKU SI NYINGI UDADAKWA MAANA JAMAA ALIKUWA ANANIDADISI KUHUSU WEWEAu sio..ngoja niendelee kuwasoma wadau wengine kwanza.
Usimwambie kituHabari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Yaani apoteze mawasiliano na watu wa msingi kisa mke wa mtu?Yaani hapo usijichanganye... Usithubutu kugusa mke wa mtu... Kwanza badili namba na hiyo laini itupe