Mke wa mtu ananitesa

Mke wa mtu ananitesa

Ujinga wa kula mke wa mtu ni kuwa jamaa akigundua atamaliza ma hasira yote kwako ya muda ule alivyokuwa anagombana na mkewe akiamini wewe ndie uliekuwa unamjaza kiburi.
Wanawake wamekuwa wengi mno ambao hawana ndoa na ni wazuri jiepushe na majanga mkimbie huyo mke wa mtu utanishukuru kwa kukueleza haya.
 
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
 
Attachments

  • download (16).jpeg
    download (16).jpeg
    14.3 KB · Views: 6
Wait....ana watoto wawili wa jinsi gani....anaishi na ndugu wengi??? Mbona kama mke wangu🤔🥺??.....wait........ hapana sio yeye....hapo kwenye kimoko na dk 5 chali.....sio mimi....una bahati☹️🫤
 
Achana nae mwambie kama ndoa yake inmsunbua aondoke kwao atapata mwanaume mwingine anaeteseka anachukua hatua anataka kuchepuka Kwa kisingizio Cha mumewake
Si ndo hapo utadhani kashikiwa kisu kula kilazima.......huyo mwanamke ni malaya tu na nyege zaje zinamsumbua.....na huyo jamaa nae ni mpuuzi anajua kabisa mke wa mtu halafu bado analeta udwanzi apa......
 
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Usimwambie kitu

Mpekelee mume wake sms zote then endelea na maisha yako
 
HOPE UKO MORO MKUU SIKU SI NYINGI UDADAKWA MAANA JAMAA ALIKUWA ANANIDADISI KUHUSU WEWE
YAANI KIUFUPI ANAJUA
Me sipo huko mzee, mtamuonea huyo jamaa
 
Back
Top Bottom