Mkatae and mwambie akitaka umsindikize asemeHuwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali”
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali”
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
Akamfumue tu
Hana huo uwezo...Akamfumue tu
Nenda kaombe ushauri kwa mumewe upone na yaishe na akome na kukomaa.Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali”
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
Wee umejuaje??🤔Hana huo uwezo...
Umri wako tafadhali??Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.