Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Kasema mwaka wa saba hajamla bado...Wee umejuaje??🤔
Kasema mwaka wa saba hajamla bado...Wee umejuaje??🤔
Hapo kweli hawezi.Kasema mwaka wa saba hajamla bado...
Ila wewee, 😂😂😂😂😂Mpakwa mafuta
Nilihisi nimeona pekee angu, LolMatatizo ya kua muongo halafukubukumbu kiduchu una ID ngapi kuna alie notice huyu ni mtanashati alipoandika "Hance ungekua mwanamke....." nikajua kajichanganya tayari
Inabidi afungue ID nyingine lakini tatizo Lake akili za kukopa atajisahau tenaNilihisi nimeona pekee angu, Lol
😂😂😂😂😂Inabidi afungue ID nyingine lakini tatizo Lake akili za kukopa atajisahau tena
Acha wivu, kama huna mvuto kwa wasichana huwez elewa jinsi wanasumbua, acha propagandaNili jua Umesha poteza ubingwa, toka ulipo Anza na nyuzi za kuji sifia uzuri.
Mara nyuzi za watu Wana kuonea wivu kisa uzuri wako, mara una tuma Picha tukuone.
Mkuu umeniwahi na hii picha, nime idownlod kwa ajili ya huyu Mrembo.Eti aku tolee mahari, I mean no malice to nobody
View attachment 3332954
Nakuzumzia wewe,what are your pronouns?Unamzungumzia nani? Am Haszu or Hance Z…, upo👌👌👌
Wee shost em tulizana, mie nikupende wee ili tukoboane au? Lijari wameisha au? Poleeee.Najua unanipenda, mi nimeoa bibi. Na nafasi zimejaa, mana wanaonitongoza ni wengi
Aunt 😂😂😂Wee shost em tulizana, mie nikupende wee ili tukoboane au? Lijari wameisha au? Poleeee.
Shangazi, naambiwa nampenda mwenzangu, sasa nikoboane, na mashababi wako wa kushantaa.Aunt 😂😂😂