Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
Mashababi kma wote ππShangazi, naambiwa nampenda mwenzangu, sasa nikoboane, na mashababi wako wa kushantaa.
Aaaah nimelia sana. Lol πππππ
Mashababi kma wote ππShangazi, naambiwa nampenda mwenzangu, sasa nikoboane, na mashababi wako wa kushantaa.
Aaaah nimelia sana. Lol πππππ
Hapo sasa, LolMashababi kma wote ππ
Wee shost umechundaa, mabazazi na mafisi ya JF wamekausha km vile hawakuoni, na kujinadi kote huko, lol.Eti tukoboane, yoo! Tangu uanze kudate hujawahi kukutana na fine guy kama mimi. Na hupati hiyo nafasi.
Wewe Uko sawa kweli? Au tuandae tanga!Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema β Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahaliβ
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
Mwanaume unachamba kama wakike upo vizuri mkuuSasa hao mashababi mimi ndio shababi lao, upo sura kavu ilo kupauka.
ππππMwanaume unachamba kama wakike upo vizuri mkuu
"Ba tamu" Au "Ba Tumbo" Tuliza kitenesi binti, mi ni mume wa mtu.Wee shost umechundaa, mabazazi na mafisi ya JF wamekausha km vile hawakuoni, na kujinadi kote huko, lol.
Nna ba tamu wangu, nikikuonesha lazima ulowe, na utataka awe bwana ako, sitaki uke wenza mwayaaaa.
Poleeeee ππππππ
Umechundraaaaa!! ππππππ"Ba tamu" Au "Ba Tumbo" Tuliza kitenesi binti, mi ni mume wa mtu.
View attachment 3333127
Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema β Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahaliβ
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
DadekiiiHuwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema β Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahaliβ
Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
..inaonekana ni inexperienced Gen Z, amekuja kwa wazazi kuomba ushauriUmri wako tafadhali??
Unamuongelea dada Hance Mtanashati πMatatizo ya kua muongo halafukubukumbu kiduchu una ID ngapi kuna alie notice huyu ni mtanashati alipoandika "Hance ungekua mwanamke....." nikajua kajichanganya tayari
Gen z wapi huyu mtu wa 90's..inaonekana ni inexperienced Gen Z, amekuja kwa wazazi kuomba ushauri
Mwanaume ndo unachamba hiv unanipita hadi mm jamni πSasa hao mashababi mimi ndio shababi lao, upo sura kavu ilo kupauka.
Mkuu unajisikiaje kupata ajira?Kuwa makini mkuu. Utavuliwa ubingwa. Mke wa mtu sumu