Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.

Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali”

Wakuu nifanyeje? Mi sipendi kutembea na mke wa mtu, shida wananisumbua san. Nifanyeje asinisumbue?
Hivi umesoma mara hiki ulichoandika
 
Mwaka wa 7😂 zingatia
 
Back
Top Bottom