Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

Wee shost em tulizana, mie nikupende wee ili tukoboane au? Lijari wameisha au? Poleeee.
Eti tukoboane, yoo! Tangu uanze kudate hujawahi kukutana na fine guy kama mimi. Na hupati hiyo nafasi.
 
Eti tukoboane, yoo! Tangu uanze kudate hujawahi kukutana na fine guy kama mimi. Na hupati hiyo nafasi.
Wee shost umechundaa, mabazazi na mafisi ya JF wamekausha km vile hawakuoni, na kujinadi kote huko, lol.

Nna ba tamu wangu, nikikuonesha lazima ulowe, na utataka awe bwana ako, sitaki uke wenza mwayaaaa.
Poleeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe Uko sawa kweli? Au tuandae tanga!
 
"Ba tamu" Au "Ba Tumbo" Tuliza kitenesi binti, mi ni mume wa mtu.
Your browser is not able to display this video.
 
 
Umechundraaaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kwataarifa yako, nimeifunga PM yangu muda mrefu kwa kukataa usumbufu wa wadada kama nyie. Huku mtaani nasumbuliwa vya kutosha.

Tafuta bwana mwengine, sikutakiiiiiiiiπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Dadekiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…