Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Amejaribisha Akioa hatari ya kuchapiwa ni kubwa kiasi gani, kupata hakika ya kitu kabla ya kuzama kichwa kichwa ni jambo zuri mno
Mkuu kwa ulimwengu wa sasa kama hujaoa Mwanamke mwenye hofu na Mungu yaani kuchapiwa hakuepukiki ☹️
 
Point
 
Kumekuwa na mlipuko wa magenge ya mashoga kutaka kushusha thamani ya Ndoa.

Usipokuwa makini unaweza kuingia mkenge
Sio kweli hao pia wanapigania haki za ndoa zao ,kataa ndoa ni alfa male wanaopenda sheria za ndoa ziwe na reform , wanaume wengi ndani ya ndoa wanaishia kuua ,kujiua kwa sababu ya misongo mikali ndani ya ndoa.
 
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote" sio maneno yangu bali yatoka katika kitabu kitakatifu ni agizo la mwenyezi Mungu mnao kiuka hili mnakosea,wewe ukifeli wapo wanaoishi na wake zao kwa furaha na amani,ndiyo maana kuna masikini wapo matajiri,wapo waliofeli maisha wapo waliopatia maisha ukiona mtu anapiga vita ndoa kwanza uchumi wake lazima utakua mbovu ukweli ndiyo huo
 
Kwani kuikataa ndoa ndo kukataa kuzichakata mbususu huku nje au me sielewi hoja yenu iko vipi?? 😎
Hoja inakuja ni pale kila mmoja wenu hataki kuoa na ukiangalia hata nchi ya dunia ya kwanza walianza hivi hivi na leo hii wapo wengi wanapigania kutambuliwa kama wao pia ni njinsia pendwa na wanaume wenzao ambao wanaona kero kuoa watoto wa kike.
 
Utashamgaa huyu ndiye mume wa huyo mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…