Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Sema unataka mteremko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bro, anakutesa! Au, unajitesa? Sasa haya si umejitakia mwenyewe!Mambo mengine tuwe na kinyaa kidogo! Anakesha na, mumewe, anapigwa pipe(you never know, may be kila sehemu), harafu na wewe unakuja unatumbukiza mule mule!Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
Nimeishia hapa. Alieweza kumaliza aniambie huko mbele ilikuwaje.alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake
Huo ni mtego kimbiaNilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
Sasa kama alikuwa hajui kuwa ni mke wa mtu?Kutembea na mke wa mtu adhabu yake jela miaka 5 faini ya ugoni ni pesa yeyeto atakayo mme wa mtu hata akisema bilioni moja Sasa jipime usije ukoo wako ukafilisika.
Kutojua sheria Sio kinga,kesi ipo pale pale, kwann hakuchunguza kabla ya kuvua chupi.Sasa kama alikuwa hajui kuwa ni mke wa mtu?
Kama mwanamke kakudanganya kwamba hajaolewa? Napo utanifunga?Kutojua sheria Sio kinga,kesi ipo pale pale, kwann hakuchunguza kabla ya kuvua chupi.
Hapa ni sawa na kusema sikujua kama ni mwanafunzi
Kashajenga kwenye hifadhi ya barabara huyoUnataka kujenga kwenye hifadhi ya barabara