Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
Sasa bro, anakutesa! Au, unajitesa? Sasa haya si umejitakia mwenyewe!Mambo mengine tuwe na kinyaa kidogo! Anakesha na, mumewe, anapigwa pipe(you never know, may be kila sehemu), harafu na wewe unakuja unatumbukiza mule mule!
Serious! Kwanini usitafute kigori kabinti kadogo Dogo.
 
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
Huo ni mtego kimbia
 
Kutojua sheria Sio kinga,kesi ipo pale pale, kwann hakuchunguza kabla ya kuvua chupi.
Hapa ni sawa na kusema sikujua kama ni mwanafunzi
Kama mwanamke kakudanganya kwamba hajaolewa? Napo utanifunga?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] malengo na mke wa mtu tena ana watoto mkuu pole sana

Kama nawaona wanaume wenzio na comments zao
 
Back
Top Bottom